Recent content by Ethan Wayne

  1. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Nataka kujiunga freemason

    Duuuh umetisha sana aiseee!!
  2. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

    Hahaha dah!maisha ya hapa mjini aisee watu wanakula vyepe yai mikuku mdoli nguvu watazitoa wapi?
  3. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Mweeeeee
  4. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho ume m Piga DENDA mpenzio lini.!?

    Jana tu ndo ilikua mara ya mwisho!!
  5. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Muhogo jamani muhogo!!!!

    Aiseee mi hua sielewi wengine wanasema eti inaongeza mzuka wa kwichi kwichi!!
  6. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Ooh! Baby, Oooh! Baby

    hahahaha duuh demu wangu anapenda kuuimba basi navouchukia hua ananikera!!
  7. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    I love this country aiseee daah kila mtu ni mjuaji!!!!
  8. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Watano wauawa huko Nyantorotoro - Geita

    Siku nyingine ukileta habari humu tumia akili na ufanye uchunguzi usituharibie siku wengine tukisikia gaid tunatetemeka™
  9. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya diamond mida hii

    hahahahahaa mweeeee
  10. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Halima kimwana na Diamond..

    Duuuh maneno yangekua yanamtoboa mtu Diamond angekua chandarua maana anafuatiliwa.mpaka kwenye kwichi kwichi!!!!
  11. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    Aiseeee!!hizi dini ingekua ndo unafika mbinguni ss tungekua wa kwanza besides mungu ndo anajua kipi kinaendelea hapa.ulimwenguni so mi naona mmeshiba nyie!!
  12. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Kuvaa Mlegezo Ni Fashion Au Uhuni?

    Aiseee mlegezo unapigiwa promo sana nowdayz coz hata suruali za jeans zinazotengenezwa siku hizi zimekaa kimlegezo b4 hujavaa sasa hizo mambo ni fashion ya kumdhalilisha mwanamme anaevaa fashion hiyo kama ambavyo demu akivaa half naked!!!sio sawa na haipendezi ktk jamii
  13. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Viongozi wa Tanzania ni wachache sana wenye hekima na kipawa cha uongozi watu wote wanao support upumbavu wa Mbowe ndo hao wakipewa uongozi wanafanya upuuzi kama wa kaka yao!!!
  14. Ethan Wayne

    JamiiForums Tanzania hivi ni kweli u.t.i tu?

    Hapo ndugu yangu si bure hebu waone madaktari bingwa wa magonjwa ya kuambukiza kisha wakupime uwe na uhakika umepimwa lakin hii ya kununua dawa maduka ya vichochoroni wanakua wanauza kwa maelezo sio vipimo
Back
Top Bottom