Anachokifanya diamond mida hii

Status
Not open for further replies.

heaven on desert

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,025
393
Salaam..najua wengi mmenimiss tu..hata wale wanaopretend kunichukia..naiman wamenimiss pia .nilikua kimya kutokana na kipindi hiki kuwa buzy kutokana na
kuongezeka kwa majukumu...
tuendelee na nilichowaletea mida hii...
Baada ya kutoka kutoa misaada kwenye kituo cha
watoto yatima kigogo..kisha ,
kwenda clouds kufanya mahojiano na kipindi cha jahazi
kisha kwenda kukagua utengenezaji
wa jukwaa atakalotumia ..
kesho kwenye tamasha aliloliandaa special kwa watoto..
usiku huu yupo kwa
producer,Man walter akiendelea kurekodi nyimbo yake mpya ya tofuti kabisa na alizowahi fanya.
akimaliza usiku huu huu ataenda tena kwa producer Tudd tomas kurekodi nyimbo nyingine...
UKILALA NA PESA ZALALA.
usisahau tu hapo kesho kuja na mwanao pale leaders kwa kiingilio cha..
3000 kwa mwanao na 7000 wewe..mtu mzima
NB..nimeshindwa kuweka picha coz natumia sim now..
ukitaka pic za matukio haya na picha za maisha ya kila siku ya diamond
follow me on instagram @ kifesi or follow WCB wasafi acount @wcb_wasafi..
WCB _WASAFI Daima.
nimemaliza
 
nimeleta taarifa .. ujumbe umeshafika kwa unaowahusu(wapenzi wa diamond)
nyie wengine endeleen kujaza coments..nikipata mda
nitakuja kuzisoma zote
 
We ukipata taarifa ya Diamond lete,unafanya vizuri sana kuleta taarifa jamvini!
 
hii nchi kwa tulipofikia kuna mtu anahitaji seriously kufuatilia maisha ya diamond???...tena kwenye jukwaa makini kama jf??kweli??
 
Tuache kujadiri mada za msingi eti tufuatilie maisha ya hawa wazinzi ambao wao kutaja hadharani kuwa amezini na Lulu ni sifa,njaa itakuua mkuu,haya endelea kusafisha viatu vya boss wako,ni upuuzi kujadiri upuuzi kama huu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom