Recent content by Eternal

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kufa?

    Bonge moja la somo hili. Kumbe sasa kinachotusumbua ni hofu ya future lakini kiuhalisia kama tungeishi the moment hakuna cha kuogopesha si ndio? Very interested, kumbe hofu ni kuogopa yajayo ambapo si kweli.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kufa?

    Aisee hapo kuna kubwa la kujifunza
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kufa?

    Hapa nakubali kabisaa. Ni sawa na tajiri kuuogopa umasikini ila masikini hauogopi umasikini maana tayari anauishi na haunsumbui.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kufa?

    Sikatai mkuu hii ni kweli lakini hii tayari inakuwa katika hali ambayo si ya kawaida, huna option yoyote zaidi ya kukikabili.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kufa?

    It make sense
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kufa?

    Mi sijawahi kuona mtu anakisogelea kifo, wote huwa tunakikimbia kifo. Hapo jibu ni kinyume cha kukipenda yaani hofu.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kufa?

    Nimekupata mkuu lakini kwanini usiwe kutapika hadi iwe kutoa kutoa taka mwili. Akili yangu ndogo inaniambia ni sababu ya uoga husababisha tutoa haja kubwa/ndogo.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kufa?

    Nje ya mada. Kwanini baadhi ya watu dk za mwisho za kifo huwa wanajisaidia. Naomba jibu la kitaalamu au la mantiki.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

    Ukiinama napiga picha😁
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

    Kabisaaa, kadiri maendeleo yanavyoongezeka uhuru, furaha unapotea. Meaningless life
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

    Piga picha unatembea bila kuonea aibu mwili wako, mfano mtoto mdogo. Unaishi kwa furaha tu the maximum.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

    Maisha yangekuwa poa sana
  13. E

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam maisha yao ni magumu sana, ukiwaangalia hivi unaweza kuhisi wamepungukiwa maji mwilini

    K Kwa biashara dar hana mpinzani Africa mashariki na kati. Dar kuna pesa ile mbaya ila akili iwe timamu ukikaa kizembe unatapeliwa au unakuwa tapeli.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kuahidi Milion 15 Za Ujenzi Wa Kanisa La Tag Kiomboi, ni Aibu

    Angeahidi nyingi pia mngemuita fisadi.
Back
Top Bottom