Recent content by estern kutcher

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota spacio na Toyota raum nichukue gari gani hapo?

    Na omba kujua changamoto za milango
  2. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Wish New Model

    Nipe uzoefu Mimi naitaka sana hiyo gari
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nipande ndege nikasome PhD au Nikomae na biashara yangu?

    Nikiwa kama mtaaalam wa maswala wa human resources management ngoja nikushauri kitu. elimu bongo ya kimuundo mwisho Masters ambapo ndio itakayokufanya ufike pahala kwenye cheo cha kimuundo, Hakuna siku itahitajika PhD ili upande daraja,,pia kwa umri wako PhD haitakusaidia maana bado junior...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Bati(ALAF) zimebaki baada ya kupaua nauza

    Mafundi wanazingua sana kwenye makadirio
  5. E

    JamiiForums Tanzania Dada zetu wanaume weusi na warefu hawana mapenzi ya kweli

    Acha ujinga wanaume weusi warefu ni magettleman ndio maana tunapendwa sababu kuu ni mbili kwa kuwa ni weusi haturingi,,na kwakuwa ni warefu sio wabishi hizo ndizo sababu ya sisi kupendwa na Madada.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananilazimisha nifute picha za x wangu

    Mwana kaoa mke wa mtu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nitumie mabati gani kati ya Bomba na Dragon?

    nataka na mimi niende dragon uliweka gage ipi 30 au 28 nijilipue huko
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ninunue brand gani ya TV kati ya hizi?

    ukitaka kununua tv usiangalie company japo wengi tunaangalia brand kama lg sony samsum japo hizo brand ndio zipo vizuri mbali na kuangalia ukubwa wa tv screen size mfano unataka kununua tv ya 32 inch hivyo basi kinachotofautisha kati ya compuni moja na nyingine ni specification zake hivyo basi...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?

    kama unahitaji kuuona uzee wako usithubutu kuoa haya makabila 1.mpare 2.mchaga 3.mnyakyusa 4.mhaya 5.mrangi 6.mbulu 7.myatulu 8.mzaramo 9.mmakonde 10.mndengeleko 11.muha 12.mzigua 13.mngon9i 15.mnyiramba hakikisha hayo makabila hayapo katika list ya mke wako wakuzeeka nao au ukubali kulea watoto...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?

    mzee mpk anakufa yupo na maza sema aisee bimkubwa tu ni muongeaji balaaa
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu bei za vifaa vya kielectroniki Zanzibar pamoja na gharama za usafiri

    mfano natoka dar nakuja kununua tv inch 48 gharama ni bei ngapi?
  12. E

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatoa majina mapya ya uhamisho Februari 2018

    itakuwa RAS WA mikoa husika walichelewa kupeleka barua ndomana wamebaki mwisho
Back
Top Bottom