Nitumie mabati gani kati ya Bomba na Dragon?

Nitumie mabati gani kati ya Bomba na Dragon?

d3d43b74-2a37-409b-9166-2a0cb9cc4a6e.jpg

Nimeamua kuweka BATI BOMBA nitakuja kutoa mrejesho
 
Kama huna ela nunua dragon ,simbadun migongo midogo ambayo hayana rangi G-30 utakuja nishukuru miaka 7mbele

Kama huna kibunda cha kutosha msiangaike na bati za rangi chukua rowasa mgongo mdogo bandika
 
Habari za asubuhi wana jukwaa wenzangu.

Naenda moja kwa moja kwenye maada nipo kwenye hatua ya kupau nyumba. Nimeumiza kichwa sana kuwa ni bati gani ambazo zitaendana na uwezo wangu ALAF achana nazo bei zake za moto sana.

Je kati ya bati bomba na dragon mnanishauri ipi? Au kampuni ipi nyingine ni bora na nafuaa?

Na je nimesikia kuwa mabati ya migongo mipana haidumu kama ya migongo midogo. Je, hili lina ukweli?

Ahsanteni sana, naomba mawazo yenu.
Kama una hela nenda alafu mkuu..hizi kampuni nyingine iwe mgongo mkubwa au mdogo hakuna lolote zinapauka hatari.
Mi zangu nikiangalia natamani siku nikikq bangi zangu na
Habari za asubuhi wana jukwaa wenzangu.

Naenda moja kwa moja kwenye maada nipo kwenye hatua ya kupau nyumba. Nimeumiza kichwa sana kuwa ni bati gani ambazo zitaendana na uwezo wangu ALAF achana nazo bei zake za moto sana.

Je kati ya bati bomba na dragon mnanishauri ipi? Au kampuni ipi nyingine ni bora na nafuaa?

Na je nimesikia kuwa mabati ya migongo mipana haidumu kama ya migongo midogo. Je, hili lina ukweli?

Ahsanteni sana, naomba mawazo yenu.
Nenda alaf kama una hela ..
Hizi kampuni nyibgine ni longolobgo hakuna lolote zinapauka.
Unajua mteja anapoambiwa mzigo unaletwwa hadi site bure na misumari unapewa bure ndio hapo anaposhawishika,
Naumia sana nikiangalia bati zangu nilipigwa bei kumbe kanja nja siku nikika bangi zangu nazifumua zote bora nigeuze ndani nje nione itakuwaje
 
Simba dumu gauge 30 yatakufaa,kama rangi utapuliza baadaye...
Achana na hizo Dragon/bati bomba...
Zinapauka na kupata kutu mapema tu...
 
Back
Top Bottom