Recent content by estaelsa

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume simwelewi kabisa

    Bahati gani huo ni mzigo tena wa mavi nakushauri tena bure usipuuze dalili zozote za mapema hiyo ndo tabia yake mroho yeyote ni mchoyo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

    Ana uvimbe kwenye kizazi amuone daktari Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi:

    Unataka mshahara kiasi gani?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha pilipili

    Mbuzi hizo
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha pilipili

    Mbuzi bei kwa mwaka jana wote hovyo tu hazitabiriki
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha pilipili

    Pilipili ni zao ambalo soko lake halitabiriki mwaka juzi ilipanda sana hadi 40000 kwa ndoo kubwa mwaka jana hadi sasa bado ndoo ni chini ya 10000 nimelima imenitesa sana kuuza walao mboga hasa mchicha na chinese zinalipa na zina soko
  7. E

    JamiiForums Tanzania Vyura Weusi na Madoa Mekundu wanahitajika haraka sana Bei Nzuri

    Utapeli huo kuweni makini
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najutia kila naefanya nae tendo anabeba ujauzito..

    Na chakula mkuu atawanunulia usiwe na hofu hadi ujaze dunia si unatii kiu?
  9. E

    JamiiForums Tanzania RUVUMA : Mwanafunzi ajinyonga kwa kuchoka kuchekwa kutokana na ulemavu wake

    Hayo yapo sana hata mimi yamenikuta mtu unayemthania anaweza kukusaidia kutokana na uelewa wake unakuta ndiye anayekudhalilisha boss anakuita kwa kukuambia fanya haraka wakati anajua fika huwezi kufanya hivyo ni udhalilishaji
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji mboga za majani zinapatikana

    Mimi ni mkulima wa mboga naisi wilaya ya Temeke Dar es salaam ninalima mboga mboga kwa wingi hasa mchicha katika mazingira mazuri masafi na kumwagilia maji masafi ya kisima pia situmii mbolea za viwandani hata kidogo. Anayehitaji tufanye biashara kama vile oda za hoteli shule na kadhalika uwezo...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

    Hapo kwa wakibosho umechemka tangu lini kimario akawa mkibosho haijawahi tokea
  12. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchoka sana mama yangu

    Naomba umtafute social counselor mweleze tatizo lako atakupa ufumbuzi pia mshirikishe sana mungu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie soko la mboga, nalima mchicha kwa wingi

    Asante kwa ushauri mzuri
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ninauza mbwa

    Wadau anayehitaji mbwa Mbegu nzuri wana miezi 4 nitafute
  15. E

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie soko la mboga, nalima mchicha kwa wingi

    Dar mbgl
Back
Top Bottom