Ndugu ukiona kiongozi msomi anakwambia hakuna jipya jaribu kufatilia kwanini anasema hayo?
Serekali italipwa zile 300M Dolla, ila kwa awamu,,, trust this, kampuni mpya itayokuja ku replace Acacia ndiyo italipa na italipa kwa awamu, sasa jiulize, Je Acacia wakibadili jina wakakubaliana na...