babati elf 45, arusha elf 56waulize bei ya unga hawanunuagi mahindi hawa wa Dar
Yaani mkuu acha tu, mm mwenyewe ni mhangaMahindi mwaka huu imekuwa hasara tu...bei zilizopo sokoni kwa mwezi huu tusitegemee miujiza nikujipanga tu kwa namna nyingine!
Kwa kweli Mungu aingilie kati,yani km hatuta katika mitaji sijui.hali ni ngumu hasa kwa mahindi.Mungu atusaidie sana.Mahindi mwaka huu imekuwa hasara tu...bei zilizopo sokoni kwa mwezi huu tusitegemee miujiza nikujipanga tu kwa namna nyingine!
Du pole sana ndugu yataka moyo kuwekeza kwenye kilimo!Yaani mkuu acha tu, mm mwenyewe ni mhanga
Ahsante mkuu, mwaka huu imekuwa Pasua kichwa sanaDu pole sana ndugu yataka moyo kuwekeza kwenye kilimo!
Kaka acha kabisa. Kichwa kinauma hapa. Gunia ziko ndani na mpk sasa dalili sio nzuri!Mahindi mwaka huu imekuwa hasara tu...bei zilizopo sokoni kwa mwezi huu tusitegemee miujiza nikujipanga tu kwa namna nyingine!
Yaani na kila mtu kaweka anasubiri Jan ...Jan kila mtu akitoa itakuwa worse zaidi...Magu kajua kutokomeshaKaka acha kabisa. Kichwa kinauma hapa. Gunia ziko ndani na mpk sasa dalili sio nzuri!
Mungu atunusuru. Hasara kubwa inakuja.Yaani na kila mtu kaweka anasubiri Jan ...Jan kila mtu akitoa itakuwa worse zaidi...Magu kajua kutokomesha
Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
Hii Mkuu inawezekana ukiwa na brand na Logo na yapitie stage za kibiashara ili yaingie kwenye market...hapo gharama zitaongezeka piaDawa nikusaga na kuuza kama unga kilo 5 na kilo 25 kwenye package!
Wapi wanauza kg kwa sh400 mkuu niende usiku huu sasa hiv?Wanauza na kununua kwa kilo. Kununua kilo moja 400.