Proof waliompiga Risasi Tundu Lissu sio watu wa system.. Big No

Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Ndo maana uzi haujafutwa,,, ungeongelea upende wa pili hata kusomwa usinge somwa
 
We mpuuzi tu na ndg wa sisonje
 
jinga kabisa ......Kanyee
 
Awamu ya Tano hawakutumia hao bali ni kikundi cha Lipumba na cha Maliyamungu Bashite ndiyo maana zoezi lao lilifeli, kipindi cha nyerere waliuawa akina Karume na sokoine kisayansi ingawa na nyerere na yy aliuawa kwa sumu kupisha wawekezaji toka South Africa canada na kuuzwa kwa NBC Bank ambavyo alikuwa kaanza kuvipigia kelele.

Duh mkuu huu ni ushuzi mtupu, tena ushuzi No.1, halafu ni wa kunuka kweli kweli. Its a very very stupid fairy tale, the most stupid I have ever heard. Kwa nickname unayotumia mkuu, sijui kama unaweza ku post anything other than ushuzi.
 
Haya majamaa ya chadema yapo kwenye kiza kinene alafu hayaelewi, hipo siku watajua tu
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...
Ulilipwa posho ya siku au mwaka kwa hili bandiko lako la kiwaki
 
NI KWELI.ata zile CCTV za pale kwa Kalemani hazikuonyesha watu wa mfumo.Nasikia ni watu wengine.
 
Ulijikita kwenye upelelezi mzito?
Sidhani hata kama unataaluma ya upelelezi.

Na hayo maandishi mepesi unayotoa hayana hata qualification ya report ya huo uchunguzi mzito.

Hii inathibitisha waandishi wengi wa aina yako aidha ni walevi au mna mtindio wa ubongo.

Huwezi kutoa report ya uchunguzi mzito kwa kufanya reference ya matukio ya nyuma ambayo hata mtu mjinga anaweza.
 
Kwahiyo kwavile njia iliyotumika dhidi ya Tundu Lissu sio ile ambayo imewahi kutumika siku za ndo tayari hiyo unaita "PROOF"?

Hivi unafahamu maana ya proof wewe?! Umeshindwa hata kutaja the so called "agenda nyingine" halafu bado unadai una proof! Hata tukiuliza bunduki iliyotumika ni model gani wala hufahamu halafu bado unadai una "proof"!

Btw, unaweza kusema ni kipi kimekufanya uhitimishe na kauli ya kidumu Chama Cha Mapinduzi?!
Huko. Kwingine Siwezi Sema neno ila kauli yangu ya Kidumu chama cha mapinduzi ni kuenzi chama ambacho chini yake Mzee baba ndio mwenyekiti. Alafu. Sisi waungwana hiyo ni salam. Yetu. Ama inakuuma.
 
Ulijikita kwenye upelelezi mzito?
Sidhani hata kama unataaluma ya upelelezi.

Na hayo maandishi mepesi unayotoa hayana hata qualification ya report ya huo uchunguzi mzito.

Hii inathibitisha waandishi wengi wa aina yako aidha ni walevi au mna mtindio wa ubongo.

Huwezi kutoa report ya uchunguzi mzito kwa kufanya reference ya matukio ya nyuma ambayo hata mtu mjinga anaweza.
Nikweli nimeandika kwa style umeiona ili usiweze tafsiri na mm hilo ndio nililo taka ulitaka undani wanini Ukatambikie huo undani?
 
Ndio umetumwa na Bashite kuja kuandika huu upupu. Kwa nini walinzi wote wa mawaziri na naibu spika walipigwa ganzi wakati risasi 32 zinamiminwa?
Unajuwa kama hujuwi aau unaendeshwa na Hisia basi kesi itaendeshwa kwa hisia.
 
Baada ya kelele mingi sana niliamua kujikita ktk upelelezi mzito ilikujuwa vile serikali ina maliza wale wanao hatarisha amani ya taifa na utulivu..

Nakatika uchunguzi huu nataka kuwathibitishia wa Tz wote ndani na nje sii kweli serikali ya Magu wamempiga risasi.

Moderator naomba kwa usalama wangu na pia kwa faida ya wengi nisitaje njia serikali inatumia kuwamaliza watesi wake ila nitajikita kutetea hoja yangu.. Na pia usifute

Tangu kipindi cha Mwl Nyerere serikali ya tanzania ina njia zake kumaliza watu hatari ktk sytem na sio hii aina ya Lisu.

Nilazima tukumbuke ktk system yetu kuna mafunzo yaki Israel,Uk,Russia,china,Usa,Ghu nk
Kiukweli kabisa stail ya serikali ya Tz kuwamaliza watu hatari sio risasi..

Ktk utafiti wangu majority of dangerous people walikuwa natural death na sio risasi ukiacha vifo vichache vya natural but soo faster... Na vyo pia huwezi sema ni serikali..

Kiufupi walio mpiga Lisu risasi wana agender nyingine sio hizi kelele zake ila kuwa na tabia yakula kote treiter kwa kilugha kingine unakula huku na huku sasa Lisu ndie anajuwa nani alikuwa anashiriki nao na tusiingize serikali kwenye mambo binafsi..
Watu walio fanya tukio wakikamatwa ndipo Tz mtajuwa ukweli na kuamini the man wa double agent outside...
Kidumu chama ca mapinduzi na serikali yake...

Msikilize Thobias Marandu ameeleza kwa kina nani aliyehusika kumpiga risasi lissu.

Back
Top Bottom