Kakiingereza unako kazuri tu, ila ufahamu wa kidiplomasia na ziara za viongozi wakuu wa kitaifa wanapozuru mataifa mengine hilo ni msamiati mgeni kwako. Jitihada ulizotumia kujifunza Kiingereza waweza kuzitumia pia kujifunza mambo madogo kama hayo ili upunguze tashtiti kwa mambo usiyoyajua...
Kuna muungwana anaitwa Fred Mandingo yeye ana inch 9.5 ni porn star anakula mpunga, pengine fanya connection za mtoni utatoka
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hoja ya kuhonga wananchi imeletwa kwa mrengo mwepesi mno kwa mtu anayeishi JF kifikra. Ni wazi majawabu ya baadhi wa waungwana humu umenayafahamu kabisa. "Nani bado anaangalia hiyo takataka", "Mimi huangalia tu king'amuzi kikiisha, " utaambiwa "Nina miaka kibao siangalii hilo lichaneli, " "Mimi...
[emoji28][emoji28][emoji28]maisha yamerahisishwa sana, simu yatosha kupata habari na kuangalia Tv utakazo duniani kote, kama una bando hata huangaiki. Ila shida ni kwa hao "pasua kichwa" utakuwa umewaweka kwenye giza la kihabari na maarifa
Ufafanuzi wako ndio muongozo halisi wa Watanzania tunatakiwa kuishi.....nazijua stendi nyingi jijini Dar....kabla ya matengenezo Stand ya Makumbusho lilikuwa zizi la ng'ombe manyunyu yakinyesha hiyo ni stand muhimu sana, sijasema ile ya Tegeta achilia mbali barabara ya hovyo kabisa ya Simu 2000...
Calisah....anadai hakuna shida kama amelamba mkwanja mkubwa yeye hizi maviatu anavaa tu. Na kama nawe wataka kutangaza bidhaa za hivo weka mkwanja mezani biashara itakwenda bila shida yoyote. Haya sasa wenye bidhaa zilizokwama masoko, fursa "Calisahn"
JF ina tulevi twingi. Twingine tunalewa hasira na mihemko ya maisha, basi ndo tunakuja kuimwaga nyongo yote. Eniwei, hongereni kwa maombi yenu ya kujiweka mnadani kwa bei ya bure
Sent using Jamii Forums mobile app
He is Munk, he is good....kuna viumbe waliinyesha dunia kwa jeuri ya fedha na mamlaka ila mwisho huja tu. Na mwisho wa kila kitu huzaliwa kwa cheche za wana mageuzi wanaonia kuwasha moto bila kuogopa umwamba na miraba ya Goliathi. Munk na jeuri yake, Tanzania na Watu aliowaweka Mwenyezi Mungu...
Kujiweka pembeni yake kwa mara nyingine, utakuwa unajifanyia unafiki mwenyewe. Na mara nyingi tunajiumiza kwa kutokuwa wakweli kwa nafsi na maisha yetu. Kwani jambazi anayekuvamia kuchukua mali na kukutoa roho ana tofauti gani na huyo demu?
☆ Mwisho wa siku uamuzi unabaki kwenu, akuombe msamaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.