Hivi ndivyo TBC inavyomdanganya Rais Magufuli

mkalamo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
343
Reaction score
359
Hivi karibuni Rais Magufuli alimaliza miaka miwili ya uongozi wake tokea aapishwe kuwa Rais wa JMT

Television ya Taifa TBC ilichukua dhima ya kutangaza mafanikio ya Rais katika miaka hiyo miwili

Jambo la kusikitisha na huenda ikawa ni kwa maeneo yote waliyochuku maoni ni kwamba waliwapanga watu waongee nini na waache nini

Mfano hapa Mtwara katika wilaya ya Newala,asilimia kubwa walihojiwa wafanyakazi wahudumu wa nyumba za wageni ambao walilipwa kila mmoja sh.10000. na kupangiwa cha kuongea na si vile wanavyoiona miaka miwili katika uhalisia wake

Jambo hili la kuwatengeneza watu wa kumsifu Rais katika tathmini inayohitaji uhalisia ni wazi inazidi kuliangamiza Taifa kwa kuwa Rais kama wanadamu wengine si mkamilifu

Ana fanya makosa na anahitaji kuambiwa ukweli,kitendo cha TBC kuongoza kampeni ya namna hiyo kina lengo la kumficha Rais asijue ukweli wa wananchi wake na mwisho wa siku atashindwa kujua mambo gani muhimu yankutatuliwa kabla ya mengine

Naamini ndugu yangu Ryoba ataacha taaluma ifanye kazi hata kama haimpendezi badala ya sasa kusimamia maangamizi ya watanzania kupitia njia hiyo ya TBC
 
Ukizoea kuishi kwa uongo uongo maisha ya kweli hutoyapenda in Mghwai's voice.
Uongo ni mchakato jaman sio tukio wanyiramba wa Iramba wanasema (lying is more in behavior than event). Ukipenda kusikia sikia uongo baadae na wewe utaanza kudanganya na kudanganyika as well. Ndio maana sipendi mauongo uongo na mapichapicha
 
Hatariii sna...yote haya kumfarahisha mfalme...hi awamu itaongoza kwa rushwa km awamu ya kina mkapa....petty coruption imetamalaki kila idara hasa kwa wenzetu wa 5alfu yakiwi.ufisadi hatuusikii sbb tuko gizani...ngoja nuru ije imulike kila uozo,sijui itakuwa lini
 
Unafikiri rais hajui yote hayo kama ni maigizo! Rais anajua vizuri sana ila kwa sababu na yeye ndivyo anavyopenda unafurahia sana uongo uongo huo
 
Hivi karibuni Rais Magufuli alimaliza miaka miwili ya uongozi wake tokea aapishwe kuwa Rais wa JMT

Television ya Taifa TBC ilichukua dhima ya kutangaza mafanikio ya Rais katika miaka hiyo miwili

Jambo la kusikitisha na huenda ikawa ni kwa maeneo yote waliyochuku maoni ni kwamba waliwapanga watu waongee nini na waache nini

Mfano hapa Mtwara katika wilaya ya Newala,asilimia kubwa walihojiwa wafanyakazi wahudumu wa nyumba za wageni ambao walilipwa kila mmoja sh.10000. na kupangiwa cha kuongea na si vile wanavyoiona miaka miwili katika uhalisia wake

Jambo hili la kuwatengeneza watu wa kumsifu Rais katika tathmini inayohitaji uhalisia ni wazi inazidi kuliangamiza Taifa kwa kuwa Rais kama wanadamu wengine si mkamilifu

Ana fanya makosa na anahitaji kuambiwa ukweli,kitendo cha TBC kuongoza kampeni ya namna hiyo kina lengo la kumficha Rais asijue ukweli wa wananchi wake na mwisho wa siku atashindwa kujua mambo gani muhimu yankutatuliwa kabla ya mengine

Naamini ndugu yangu Ryoba ataacha taaluma ifanye kazi hata kama haimpendezi badala ya sasa kusimamia maangamizi ya watanzania kupitia njia hiyo ya TBC
Mkuu Mkalamo, kwanza naomba ku declare my interest kuwa siandika haya kumtetea Dr. Ryoba, bali naandika from experience, kwa vile mimi niliwahi kufanya kazi TBC Enzi hizo, kwa Enzi zetu, haikuwahi kutokea hata mara moja kwa TBC kumlipa mtu yoyote pesa na kumpanga ili aseme nini au awe positive tuu kwenye vox pop. Hivyo hili kama ni kweli limetokea, hili ni jipya kwangu.

Hivyo hizi tuhuma unazotoa hapa kama ni kweli watu wamehongwa ten ten ili kumsifia rais Magufuli, na ushahidi unao, naomba usiishie hapa jf, upeleke kunakohusika illi watumishi hao wa TBC washughulikiwe kama wahalifu wengine wowote!.

TBC kama TV ya Taifa, ina Wajibu wa Ku Practise Resiponsible Journalism.
Kazi ya media ya zamani ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha tuu, lakini kazi ya media ya kisasa, haiishii kwenye kuhabarisha, kuelisha na kuburudisha tuu, lakini pia media ina wajibu wa kuisaidia jamii kujenga mabadiliko chanya through responsible journalism, uandishi wenye lengo la kujenga na sio kubomoa, kwa kutengeneza positive trends.

Hivyo TBC kama chombo cha habari cha umma (public broadcaster), na sio chombo cha habari cha serikali (TBC sio government media), kinawajibu wa kuusaidia umma kwenye kuangazia miaka miwili ya rais Magufuli madarakani, kuamua kuchukua mlengo wa mafanikio, the positive side, then mtayarishaji na mtangazaji, anao uhuru wa kuchukua mahojiano yenye kuzungumzia mafanikio tuu, na kuandaa kipindi cha mafanikio pekee, na wako righ 100% ili kujenga picha ya mafanikio.

Sasa kama kuna maeneo rais Magufuli amefanya vibaya, sio jukumu la TBC kueleza madhaifu ya rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, ndio maana tuna private media, tuna independent media ambazo ndizo zinapaswa kufanya kazi hii ya kukosoa.

Haki ya Kipindi/TV/Redio/ Gazeti Kuchukua Mrengo Fulani
Kwenye kila jambo, kuna positives na negatives, mtayarishaji, mtangazaji, mwandishi, kituo cha redio, TV au magazeti, yako huru kufuata mrengo Fulani katika utoaji wa habari zake be it the positives or the negatives bila kusakamwa, hivyo TBC inayo haki kabisa ya kuelezea mazuri tuu pekee ya awamu ya tano, au kusifia tuu, bila kufanya kosa lolote kitaaluma, na media nyingine zina haki ya kukosoa au kuelezea mapungufu tuu bila kukiuka kanuni yoyote, ila resiponsible media, itafanya balancing, kwa kuyazungumzia mazuri, lakini pia kuyayazungumzia mapungufu as changamoto ili kuisaidia serikali kubalidika kwa kuziangazia changamoto hizo!.

Mfano Hai wa The Power of Positive Media Coverage.
Kauli huumba, ukizungumzia mazuri tuu, kauli hizo huumba mema, hivyo kwenye eneo lenye mgogoro, responsible media, itafanya responsible reporting kwa ku zero in kwenye the positives ili kuwasaidia jamii ku change attitudes na kuwa positive.

Kwenye mgogoro wa bomba la gesi, Mtwara na Lindi, kulikuwa na some negativity, mimi kupitia kampuni ya PPR nikapata tenda ya ku create a positive image, kitu cha kwanza nilichofanya ni kwenda Mtwara na Lindi, na kuzungumza kwa mahojiano wananchi kwenye kipindi cha TV, bila kuwaongoza waseme nini, kiukweli wananchi walifunguka na wakatema mbovu sana kwa nini wana chuki na bomba hilo.

Baada ya kumaliza kurekodi, kwa vile lengo ni kutengeneza positive image kuhusu mradi ule, kwenye program yangu, niliwaweka only the ones waliokuwa positive kuhusu bomba la gesi, na kurusha kipindi hewani jinsi wakazi wa Mtwara na Lindi wanavyolikbali bomba la gesi.

Lakini sikuwapuuza wale waliokuwa negatives, bali niliwasikiliza kwa makini hoja zao na kwa nini wanauchukia mradi huo, nicompline negative sentiments zote, sababu kubwa ikiwa ni ubabe wa kiongozi Fulani na ushirikishwaji. Nikawaandalia ripoti, na mapendekezo ya CSR kwa jamii husika, uongozi ukaipitia ukaikubali, kiongozi mbabe akaondolewa, wananchi wakashirikishwa, CSR ikafanyika, jamii ika change atitute kuhusu mradi mambo yakawa supper!. Hivyo sometimes media zina wajibu wa kuripoti mazuri kwa nia ya kujenga na sio ili kuficha maovu, hivyo naamini hata hao waliohojiwa na TBC, kuna baadhi walikuwa negative, na hoja zao pia zitakuwa zimefikishwa kunakohusika na sio lazima zijumlishwe kwenye kipindi.

Paskali
 
Picha au kideo au audio nayo umeshindwa kudakua..

Ila hao wananchiutakuta wengi wanatymiamitandao au hata ndugu zao.. bali hawayarushi.. na ndio hayo yanatokea.. pesa nayo ni tabu kuikataakama huna au hujui lini utagusa kiasi unachoombwa kupokea.

Tujiongeze sisi wananchi kukataaa kama hayo.. tumsaidie Rais wetu..
 
Hoja ya kuhonga wananchi imeletwa kwa mrengo mwepesi mno kwa mtu anayeishi JF kifikra. Ni wazi majawabu ya baadhi wa waungwana humu umenayafahamu kabisa. "Nani bado anaangalia hiyo takataka", "Mimi huangalia tu king'amuzi kikiisha, " utaambiwa "Nina miaka kibao siangalii hilo lichaneli, " "Mimi na familia yangu hatuwezi kabisa kuangalia hiyo kitu inaitwa TBC," Naam, machukizo ni mengi, viapo ni vingi na lalama kwa kweli zina mkururo mkubwa, na shaka kubwa ni kama TBC imesinzia usingizi huu wa pono.

Kama mweka pachiko ulilenga kusikia na kusoma comments za aina hiyo hapo juu basi lengo limefanikiwa; lakini kama ulihitaji tuufahamu ukweli usingetuletea taarifa yenye uzani mwepesi hivi? Kumbe yatosha tu kusema wahudumu wa guest walihongwa? Nadhani dunia ya sasa inahtaji kitu kikubwa zaidi, tupe sauti lau hata kavideo kabovu ka kutufumbua macho.

Vinginevyo ni stunts tu za kuhitimishia mwaka. Did I stand a positive side of your animal TBC?
 
Mkuu Mkalamo, kwanza naomba ku declare my interest kuwa siandika haya kumtetea Dr. Ryoba, bali naandika from experience, kwa vile mimi niliwahi kufanya kazi TBC Enzi hizo, kwa Enzi zetu, haikuwahi kutokea hata mara moja kwa TBC kumlipa mtu yoyote pesa na kumpanga ili aseme nini au awe positive tuu kwenye vox pop. Hivyo hili kama ni kweli limetokea, hili ni jipya kwangu.

Hivyo hizi tuhuma unazotoa hapa kama ni kweli watu wamehongwa ten ten ili kumsifia rais Magufuli, na ushahidi unao, naomba usiishie hapa jf, upeleke kunakohusika illi watumishi hao wa TBC washughulikiwe kama wahalifu wengine wowote!.

TBC kama TV ya Taifa, ina Wajibu wa Ku Practise Resiponsible Journalism.
Kazi ya media ya zamani ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha tuu, lakini kazi ya media ya kisasa, haiishii kwenye kuhabarisha, kuelisha na kuburudisha tuu, lakini pia media ina wajibu wa kuisaidia jamii kujenga mabadiliko chanya through responsible journalism, uandishi wenye lengo la kujenga na sio kubomoa, kwa kutengeneza positive trends.

Hivyo TBC kama chombo cha habari cha umma (public broadcaster), na sio chombo cha habari cha serikali (TBC sio government media), kinawajibu wa kuusaidia umma kwenye kuangazia miaka miwili ya rais Magufuli madarakani, kuamua kuchukua mlengo wa mafanikio, the positive side, then mtayarishaji na mtangazaji, anao uhuru wa kuchukua mahojiano yenye kuzungumzia mafanikio tuu, na kuandaa kipindi cha mafanikio pekee, na wako righ 100% ili kujenga picha ya mafanikio.

Sasa kama kuna maeneo rais Magufuli amefanya vibaya, sio jukumu la TBC kueleza madhaifu ya rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano, ndio maana tuna private media, tuna independent media ambazo ndizo zinapaswa kufanya kazi hii ya kukosoa.

Haki ya Kipindi/TV/Redio/ Gazeti Kuchukua Mrengo Fulani
Kwenye kila jambo, kuna positives na negatives, mtayarishaji, mtangazaji, mwandishi, kituo cha redio, TV au magazeti, yako huru kufuata mrengo Fulani katika utoaji wa habari zake be it the positives or the negatives bila kusakamwa, hivyo TBC inayo haki kabisa ya kuelezea mazuri tuu pekee ya awamu ya tano, au kusifia tuu, bila kufanya kosa lolote kitaaluma, na media nyingine zina haki ya kukosoa au kuelezea mapungufu tuu bila kukiuka kanuni yoyote, ila resiponsible media, itafanya balancing, kwa kuyazungumzia mazuri, lakini pia kuyayazungumzia mapungufu as changamoto ili kuisaidia serikali kubalidika kwa kuziangazia changamoto hizo!.

Mfano Hai wa The Power of Positive Media Coverage.
Kauli huumba, ukizungumzia mazuri tuu, kauli hizo huumba mema, hivyo kwenye eneo lenye mgogoro, responsible media, itafanya responsible reporting kwa ku zero in kwenye the positives ili kuwasaidia jamii ku change attitudes na kuwa positive.

Kwenye mgogoro wa bomba la gesi, Mtwara na Lindi, kulikuwa na some negativity, mimi kupitia kampuni ya PPR nikapata tenda ya ku create a positive image, kitu cha kwanza nilichofanya ni kwenda Mtwara na Lindi, na kuzungumza kwa mahojiano wananchi kwenye kipindi cha TV, bila kuwaongoza waseme nini, kiukweli wananchi walifunguka na wakatema mbovu sana kwa nini wana chuki na bomba hilo.

Baada ya kumaliza kurekodi, kwa vile lengo ni kutengeneza positive image kuhusu mradi ule, kwenye program yangu, niliwaweka only the ones waliokuwa positive kuhusu bomba la gesi, na kurusha kipindi hewani jinsi wakazi wa Mtwara na Lindi wanavyolikbali bomba la gesi.

Lakini sikuwapuuza wale waliokuwa negatives, bali niliwasikiliza kwa makini hoja zao na kwa nini wanauchukia mradi huo, nicompline negative sentiments zote, sababu kubwa ikiwa ni ubabe wa kiongozi Fulani na ushirikishwaji. Nikawaandalia ripoti, na mapendekezo ya CSR kwa jamii husika, uongozi ukaipitia ukaikubali, kiongozi mbabe akaondolewa, wananchi wakashirikishwa, CSR ikafanyika, jamii ika change atitute kuhusu mradi mambo yakawa supper!. Hivyo sometimes media zina wajibu wa kuripoti mazuri kwa nia ya kujenga na sio ili kuficha maovu, hivyo naamini hata hao waliohojiwa na TBC, kuna baadhi walikuwa negative, na hoja zao pia zitakuwa zimefikishwa kunakohusika na sio lazima zijumlishwe kwenye kipindi.

Paskali
Ah ah kumbe ndo tabia pia uovu wako na mshindwe na Mola akulaani
 
Back
Top Bottom