Recent content by ESI

  1. E

    Jaji Warioba: Msimamo wangu kuhusu Katiba upo palepale

    Hako kazee wamekanunua. kakae katulie muda ufike kaage dunia.
  2. E

    Kwanini viongozi wote wanaotoka CCM hawajiungi na CHADEMA moja kwa moja?

    Navokfahamu Le Mutuz kichwani we ni mweupe mno. Ina maana unashindwa kutambua UKAWA imetokana na nn? unajiaibisha.
  3. E

    GE2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Hiv ile nyumba ya serikali alio muhonga Dem wake nayo CCM wameshindwa kumnyanganya? Pombe kwa Andasi za kukgegeda noma sanaa. UKAWA ndio Sisi Pamoja sana Kamanda Lowassa.
  4. E

    CHADEMA kuweni realistic

    Tanzania ya sasa watu walio na ufahamu kama wewe ni wachache saaanaaa! Lakini poa utajielewa tuu. Mchana mwema.
  5. E

    Kwa hili la mgombea Urais wa UKAWA, system inaelekea kufanikiwa

    Mbona unaweweseka mkuu si utulie kwanza make game ndio kwanza Refa hata hajapewa Kipenga! Emb tafuta sehemu wanakouza vinywaji baridi upumzike kwanza.
  6. E

    Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea

    --------- al zitto al zuberi al asistan kabwe
  7. E

    Ambayo Mzee Said Arfi hakuyasema jana kwenye Hotmix ya EATV

    walioko ccm sio vijana wala wazee wote akili zenu zimefubaa hakuna mwenye fikra nzuri. eg jk makonda wengine ongezea na jina lako usilisahau.
  8. E

    Wassira awasimamisha kazi Wakurugenzi kwa Ubadhilifu wa Mabilioni

    Hv huyu Kikongwe ile nyumba alisha hama au? Mwezi 11 unakaribia ajiandae kuondoa hilo limwili lake. Pamoja sana CDM.
  9. E

    CCM: Mambo si mambo

    Na bado hilo lijumba la maccm hapo Lumumba litauzwa naona sarakasi zimeanza.
  10. E

    CCM ijiandae kuunda Serikali ya mseto-Kanali Edmund Mjengwa

    Hii timu iliangusha nguvu nying za cdm pale mbinga angalia sasa Mjengwa dc, Shaib Nnunduma DED, Oddo Mwisho mwenykt ccm wilaya na kwa sasa mjengwa nje, nnunduma ni ded pale nyasa na mwisho ni mwenyekt wa halmashaur ya nyasa pia ndie mwenykt wa ccm mkoa wa rvm kuna sehem mjengwa alibug jk akamtema
  11. E

    CCM ijiandae kuunda Serikali ya mseto-Kanali Edmund Mjengwa

    Huyo mzee ni fal.a aliwatisha waalimu mwaka 2009 pale mbinga aliposema mwalimu yyte atakaesimamia kituo cha kupigia kura na ccm ikashindwa atafukuzwa kazi. wenzake kina DED NNUNDUMA NA ODDO MWISHO WANAKULA BATA YEYE HOI CCM BWANA NOMA SANA
  12. E

    Mungai aongoza CHADEMA kusambaratisha CCM Mufindi

    Hata baba yake kashalichoka hili chama la magamba sema bado hajafunguka hadharani huyu mzee. big up willy. vijana wa lumumba vp, wap Ritz, Chama all buk 7 team.
  13. E

    Mke wangu anatuma post za kunisimanga Facebook

    Daka mchepuko and huyo wife mchane suspension ya miez 3 ajirekebishe kwanza
  14. E

    Jamani eti naye anataka kunizalia mtoto

    mkaze ila tumia condm ile kwake.
  15. E

    Uzinzi haulipi

    Ajali haina kinga, sie sio wanzilishi wa UKIMWI jali yako na mkeo,
Back
Top Bottom