Kwanini viongozi wote wanaotoka CCM hawajiungi na CHADEMA moja kwa moja?

Apr 27, 2006
26,588
10,375
Mzee Kingunge naachana na CCM siendi chama chochote,
Mh Frederick Sumaye naondoka CCM ila sijasema nitajiunga chama gani,

Mh Lowassa ni zuio la kikatiba la kuwa ili uwe mgombea sharti uwe na chama basi naye angesema anahama CCM ila hajiungi na chama chochote Maana nyingine hivyo vyama Vya Upinzani hasa CHADEMA, haviaminiwi na hawa wanaoondoka huku,

Hapa Kisiasa tafsiri ni kwamba ndani ya vyama Vya UKAWA sio mbadala kwa makada hawa na Nje ya madaraka wanayo yasaka hawana dhamira na hawaviamini vyama hivi, je ndio maana Mbowe amekataa kabisa kuwaruhusu kutumia ofisi za CHADEMA pale Kinondoni, badala yake amewatafutia Nyumba moja pale Kawe wanayoitumia sasa kama Ofisi ya UKAWA.

Hili ndilo swala kubwa la wana UKAWA kutafakari sasa hivi zikiwa zimebakia Siku 16 kabla ya Uchaguzi kufanyika.

Le Mutuz Nation
 
Kuwa CCM kwa sababu ni 'winning team'
hata kama wanafanya faulo ili kushinda sio sifa...

Idadi ya wapiga kura itapungua sana iwapo kila wanapopiga kura matokeo hayaakisi
hali halisi....na hilo likifikia basi hasara ni kwa taifa zima....

Kuwa chama tawala mnapaswa kuwa humble na wanyenyekevu kwa wapiga kura...
na muwaridhishe wapiga kura nyinyi ni watu sahihi hata kama 'hawaoni' chama mbadala
cha kukimbilia....

kujisifia kuwa 'hakuna chama mbadala' ndio maana wananchi wanarudi kwenu ni mentality ya kipumbavu sana
ni sawa na mfanyabiashara anaetoa huduma mbovu sababu yupo peke yake....huko sio kuwa smart
ni upumbavu to the maximum...

watu walio ichoka CCM hata kama hawaoni wapi 'sahihi zaidi' pa kukimbilia
ukweli unabaki ule ule kuwa 'kuna kitu hakiko sawa ndani ya CCM'
 
- Hapo kwenye red tupo pamoja, ila mengine hapana ukweli wako sio lazima ukweli wa kila mtu hapana.

le Mutuz
 
inakuwa ngumu kwa kuwa wanaogopa ccm as it is likely kushinda na kuwalaza njaa.

pia most of them waliishi mfumo ccm...that is wizi, madawa, ufisadi, utekaji so wanaogopa kushtakiwa.

naamnin lowassa hana vimeo vibaya serikalini ndio maana amejiunga mojakwa moja na upinzani.

SLAA anaogopa kujiunga na ccm kwa kuwa wanainchi watamtafsiri kuwa kajiunga na genge chafu.
 
Kuwa CCM kwa sababu ni 'winning team'
hata kama wanafanya faulo ili kushinda sio sifa...

Idadi ya wapiga kura itapungua sana iwapo kila wanapopiga kura matokeo hayaakisi
hali halisi....na hilo likifikia basi hasara ni kwa taifa zima....

Kuwa chama tawala mnapaswa kuwa humble na wanyenyekevu kwa wapiga kura...
na muwaridhishe wapiga kura nyinyi ni watu sahihi hata kama 'hawaoni' chama mbadala
cha kukimbilia....

kujisifia kuwa 'hakuna chama mbadala' ndio maana wananchi wanarudi kwenu ni mentality ya kipumbavu sana
ni sawa na mfanyabiashara anaetoa huduma mbovu sababu yupo peke yake....huko sio kuwa smart
ni upumbavu to the maximum...

watu walio ichoka CCM hata kama hawaoni wapi 'sahihi zaidi' pa kukimbilia
ukweli unabaki ule ule kuwa 'kuna kitu hakiko sawa ndani ya CCM'

I like this Broh... I like, You have very good logic and social decision..
I real appreciate broh... always.
You will be my role-modal.
 
Kwa hiyo harakati za Lowassa kwenda ikulu hazifannyikii ofisi za Chadema.?

Hii mpya kwangu.!
 
Issue co kuhama kwenda wap......issue ni je maendeleo yatakuja km tukiwapa nafas ya kuongoza.Reality chama tawal kimeshindwa kutimiza matarajio mengi ya watanzania kwa kias kikubwa ndo maana tunahitaji mabadiliko........
 
Hicho chama hakiwezi kubadilika juzi martin lumbanga kamvua huyo kilaza wenu nguo......2015 hamna sera mmebaki kumtegemea kilaza bulembo n lusinde,jan,mwigulu ndio think tank wenu kweli mmechokwa sana kazeni roho mnaweza kupata strokeee
 
Mzee Kingunge naachana na CCM siendi chama chochote,
Mh Frederick Sumaye naondoka CCM ila sijasema nitajiunga chama gani,

Mh Lowassa ni zuio la kikatiba la kuwa ili uwe mgombea sharti uwe na chama basi naye angesema anahama CCM ila hajiungi na chama chochote Maana nyingine hivyo vyama Vya Upinzani hasa CHADEMA, haviaminiwi na hawa wanaoondoka huku,

Hapa Kisiasa tafsiri ni kwamba ndani ya vyama Vya UKAWA sio mbadala kwa makada hawa na Nje ya madaraka wanayo yasaka hawana dhamira na hawaviamini vyama hivi, je ndio maana Mbowe amekataa kabisa kuwaruhusu kutumia ofisi za CHADEMA pale Kinondoni, badala yake amewatafutia Nyumba moja pale Kawe wanayoitumia sasa kama Ofisi ya UKAWA.

Hili ndilo swala kubwa la wana UKAWA kutafakari sasa hivi zikiwa zimebakia Siku 16 kabla ya Uchaguzi kufanyika.

Le Mutuz Nation

Akili zako za ajabu sana na cku akitoka baba ako utaongea hizo shudu zko?..... Ama kweli ukiwa ccm lazma uwe na uchiz kidg
 
Mzee Kingunge naachana na CCM siendi chama chochote,
Mh Frederick Sumaye naondoka CCM ila sijasema nitajiunga chama gani,

Mh Lowassa ni zuio la kikatiba la kuwa ili uwe mgombea sharti uwe na chama basi naye angesema anahama CCM ila hajiungi na chama chochote Maana nyingine hivyo vyama Vya Upinzani hasa CHADEMA, haviaminiwi na hawa wanaoondoka huku,

Hapa Kisiasa tafsiri ni kwamba ndani ya vyama Vya UKAWA sio mbadala kwa makada hawa na Nje ya madaraka wanayo yasaka hawana dhamira na hawaviamini vyama hivi, je ndio maana Mbowe amekataa kabisa kuwaruhusu kutumia ofisi za CHADEMA pale Kinondoni, badala yake amewatafutia Nyumba moja pale Kawe wanayoitumia sasa kama Ofisi ya UKAWA.

Hili ndilo swala kubwa la wana UKAWA kutafakari sasa hivi zikiwa zimebakia Siku 16 kabla ya Uchaguzi kufanyika.

Le Mutuz Nation
Au sio
 
pia wanaogopa MAGUFULI akiapishwa tuuuu kwanzaa atashughulika na mafisadi afu awo woteee atawekwa ukooo.....
 
Hicho chama hakiwezi kubadilika juzi martin lumbanga kamvua huyo kilaza wenu nguo......2015 hamna sera mmebaki kumtegemea kilaza bulembo n lusinde,jan,mwigulu ndio think tank wenu kweli mmechokwa sana kazeni roho mnaweza kupata strokeee

- So unasema hii ndio sababu ya Freeman Mbowe kuwakatalia kutumia ofisi ya Chadema pale Kinondoni, amewakodishia lile linyjmba pale Kawe hebu kuwa open zaidi sijakuelewa? hahahahahahah

le Mutuz
 
Kwa hiyo harakati za Lowassa kwenda ikulu hazifannyikii ofisi za Chadema.?

Hii mpya kwangu.!

- Ulikuwa hujui, unadhani Mbowe na Mtei ni wajinga wanazo akili za kuanzisha Chama watadanganywa na hawa wasaka madaraka? hahahahah Mbowe hajaruhusu Makapi hata mmoja kuingia ofisi za Chadema Kinondoni, hahahahahah kawakodishia lijumba kule Kawe kusudi uchaguzi ukiisha kila mtu aende na zake, unadhani hawa wasaka power watabaki baada ya Magufuli kuapishwa? thubutu!! hahahahahaha

le Mutuz
 
Navokfahamu Le Mutuz kichwani we ni mweupe mno. Ina maana unashindwa kutambua UKAWA imetokana na nn? unajiaibisha.
 
Back
Top Bottom