Jamani eti naye anataka kunizalia mtoto

Jamani eti naye anataka kunizalia mtoto

Sasa naamini kuwa ule ushauri wa matatibu waliobobea kuwa ulaji wa kiti moto una madhara makubwa kwa afya ya binaadamu kuliko faida, una mantiki kubwa. Yaani anajifaharisha kwa upuuzi huo wa zinaa na kukubali kushare na jamii!!!!
 
azinie na mwanamke hana akili afanya jambo la kuanamiza nafsi yake.bible hiyo Je huna akilii?Unataka kujiangamiza? kuna ukimwi nk hebu tulia kuchepuka hakuna faida ni majuto na majanga
 
Duh......nadhani haujanielewa kabisa KING' daughter......cjaanza kumsaliti na wala cna mpango wa kumtupa jamani hebu nielewe

Kama ungekuwa na maamuzi yako binafsi usingekuja kuomba ushauri humu.Suala la kuomba ushauri eti umjaze mimba ama la! walifaham mwenyewe baki njia kuu.
 
Last edited by a moderator:
Mpe mimba ila mwambie azae mtoto wa kufanana na ye mwenyewe, mara nyingi uhusiano wa namna hii mtoto hufanana na mama ata awe wa kiume. Then ata akifanana na ww utasema duniani wawili wawili, nina homeboy wangu anafanana na Mike Tyson na huwa tunamwita Mike lkn hawajuana na wala hawatajuana so we kula kiuno mwamba usintie aibu mpk watu wajue km we unatoka mkoa!
 
Mmmhhhh unajua kuna series inaitwa Story book sasa kuna mtu anaitwa domblodough anamsemo i quote "Everything comes with a price" sasa kama unaona whatever is excellent then wheeeuuw her up
 
Sasa naamini kuwa ule ushauri wa matatibu waliobobea kuwa ulaji wa kiti moto una madhara makubwa kwa afya ya binaadamu kuliko faida, una mantiki kubwa. Yaani anajifaharisha kwa upuuzi huo wa zinaa na kukubali kushare na jamii!!!!

Hz ndoa cku hz ni fashen tu haingii akilin mtu mzima kuomba ushaur wa ujinga mungu atuongoze angalau tuwe na aibu
 
kula mzigo, enendeni mkaijaze dunia.... zali kama hilo mpe shetani 5 zake maisha yasonge..... umetoka kanisani ukaenda bar,, bar ukakutana na kahaba, kahaba linataka mtoto na wewe.... chunga sana jamaa..
 
Izo bahati mbona mie sipatagi...au kwa vile watoto wangu wamefanana na my wife wangu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom