Huwa mnakuwa wadogo kama nyenyere mkimulikwa na kurunzi...
Msumari umefika kwenye mfupa?Moderator nyuzi kama hizi za kizushi zisizo na ushahidi wowote hazifai kuachwa hapa jamvini.
leta hoja acha vioja wenye uelewa mdogo kama wa kwako humuwezi kuelewa hii mada .Mwendelezo wa udaku
Hivi bado kuna watu ni wanachama wa ccm mpaka leo ?
Yes, ni baadhi ya wazee wachache sana waliobakia ndani ya Lumumba wenye hekima na busara!!
Tulijua tu utakuja kutoa makamasi kwa kasi hapa jamvini, hivi vita ya kunyanganyana tonge ipo sana.Mzee Tupa katika kiwango chake cha ujinga
Ndugu MUSSA ALLAN,wewe haupo Lumumba.Huko nako mna malalamiko yenu. Tulia ili chama kipate utatuzi wa mambo haya.Acha ushabiki na mihemko ndugu. Kada gani wewe usiye na uchungu na wenzako?
Mzee Tupatupa
Huyu jamaa tu,eshamzoea. Nadhani hata mods wamemzoea ndo maana wanampuuza. Ila wanatakiwa kuondoa huu ujinga wake
Wewe uko UFIPA ya Lumumba yanakuhusu nini?
Msumari umefika kwenye mfupa?