Recent content by eschanzi

  1. eschanzi

    TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

    Hasa kwa binti yake Phelister ambaye nilisoma naye O-Level Mwenge Secondary School 1977 - 1980. Pole Sana dada yangu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikiwe.
  2. eschanzi

    Profesa kijana apewa Ubalozi

    With an incredible knowledge of mathematics, 14-year-old Yasha Asley is the world’s youngest professor. Known as the human calculator
  3. eschanzi

    Maneno aliyoandika aliyekuwa staff NSSF kwenda kwa mwenzake

    Inategemea. Kwenye kazi kinachotakiwa ni sifa. Penye haki hakuna ubaguzi wa kidini. Kama wanaotakiwa hao 11 ndio wenye sifa stahiki na wote ni waislam kwa dini zao, watachukua hizo nafasi. Kama wote ni wakristo watapewa hizo nafasi zote. Lakini pia wanaweza kuwa waislam 6 wanaokidhi na wakristo...
  4. eschanzi

    Unapoambiwa "Old is gold" usibishe, ingia ucheze ngoma

    "Adventure of Mahugu the Hunter"
  5. eschanzi

    Muonekano wa watoto mapacha 6 kwa sasa

    Hiyo ni kweli. Mia and Rozonno McGhee, along with their household, they balance life between their six children, marriage and a family business. The McGhees own and operate a carpet and upholstery cleaning business in their hometown of Columbus, Ohio.[2] The couple, who met while in high...
  6. eschanzi

    ''Mwanangu, babako amekufa''

    Kiswahili hicho "Wastara HAZUMBUKI................"
  7. eschanzi

    Saed Kubenea: Sijagombea PAC, sijagushi jina wala Zitto hajui MwanaHalisi ilivyoanza

    Hilo lingewezekana tu kama Masaburi asingeondoa kesi mahakamani. hapo ndipo mbichi na mbivu zingeonekana. nje ya hivyo hatapatikana. Amepona
  8. eschanzi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Membe): Thomas Sankara alikuwa Rais wa Benin

    Hapo sawa Victoire. Rais wa Watanzania au Rais wa Wabukinabe.
  9. eschanzi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Membe): Thomas Sankara alikuwa Rais wa Benin

    Thomas Sankara alikuwa Rais wa Bukinafaso siyo Bukina Be. Raia wa nchi ya Bukinafaso ni Bukinabe kama ilivyo kwa raia wa Tanzania ni Watanzania. Na raia wa China ni Chinese kwa kimombo, n.k. Just to let you know. Lakini tuko pamoja Mh. Membe kajigonga ile mbaya. Pole nchi! mkuu wa mambo ya...
  10. eschanzi

    AITV App: Mmilik/Mdau toa ufafanuzi

    Kama una account bank na ukajiunga na internet banking na kuwezeshwa kununua kupitia internet utafanikiwa kwa urahisi sana. Mimi nina account CRDB na nimewezeshwa kununua kwa internet. Ninatumia AITV na ninalipa USD 6 kwa mwezi. Ni rahisi sana.Unalipa tu kwa kutumia VISA card ya benki yako.
Back
Top Bottom