Recent content by esc343

  1. esc343

    Mke kumuachia dada wa kazi majukumu aliyopaswa kufanya yeye

    Sio ndoa tu. Watu wako kwenye relationship na bado mwanamke anachukua jukumu la kufua boxer za mpenzi wake.
  2. esc343

    My EX (kisasi kwa njia ya ujasusi)

    Two minutes of my life that I will never get back.....
  3. esc343

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dah it feels so better when the story comes from a woman
  4. esc343

    Serikali yakiri kudaiwa Shilingi Bilioni 105 na wakulima wakubwa wa Korosho

    Katika kitu Magu alikosea ni hapa kwenye kuingilia ishu za korosho. Alitaka kumtoa kangomba ila imekula kwake. Wakulima njaa, serikali nayo imekula hasara.
  5. esc343

    Online casino zinalipa wazee, ukithubutu na ukiwa makini tu unapata pesa

    Hizi kama haujaanza nakushauri usijaribu. Bora betting ya mpira kuliko online casinos. Maana hizi nyingi ni 24/7 na hela ni kama shetani unaweza cheza siku nzima. Nishawahi poteza 3M ndani ya masaa 3 tu kwa kucheza Black Jack
  6. esc343

    UKATA: Kampuni ya Maxcom Africa yatangaza kupunguza idadi ya wafanyakazi wake kutokana na kupungua kwa mapato

    Watu wengi hawaelewi what is happening hapa. Maxcom pamoja na Selcom walipewa uwakala wa kuuza umeme wa LUKU tanesco. This means on every transaction ya umeme, it has to go through any of the two. Hizi kampuni za Simu na benki zote zilijiunganisha kupitia hao wawili. Sasa fikiria commission zao...
  7. esc343

    Nimegundua rafiki yangu anacheza kamari

    Huyu ana gambling disorder, I almost went through the same phase wakati naishi nje, nilikuwa nikilipwa hela Ijumaa nacheza michezo mbali mbali ya karata au spinning wheels. It is so addictive yaani nahisi more than drags. Ilifika kipindi I once lost 1000£ in just 2 hours. I felt like taking my...
  8. esc343

    I am loosing it

    Will do so Asante
  9. esc343

    I am loosing it

    Cheers, Thanks for the advice
  10. esc343

    I am loosing it

    Hongera kaka. How did you manage to stop?
  11. esc343

    I am loosing it

    Nimekuwa mwanachama wa JF kwa muda wa miaka 4 sasa. I come to you members today kwa ajili ya ushauri wa hili jambo ambalo ni changa lakini naona litakuja kuharibu maisha yangu huko mbeleni. Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 25-30. Nina elimu nzuri sana na basically am having my dream...
  12. esc343

    Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Ashukuru mungu yupo Tanzania. Yaani angekuwa ughaibuni na Criminal record, career yake ndio angekuwa kaiflash chooni.
  13. esc343

    Fahamu kuhusu muigizaji N!xau maarufu kama Bushman

    Una ugomvi na team kiba wewe.
  14. esc343

    Fahamu kuhusu muigizaji N!xau maarufu kama Bushman

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom