Humu kuna watu wengi sana huna haja ya kuumiza kichwa chagua watu ambao wanasoma na kufatilia mambo hapo utafurah wewe, comments zingine unapita juu tuu. Ndege wa rangi moja uruka pamoja
Wachina huwa tunawaunderestimate sana ila wanakimbia kwa kasi ya ajabu sana. Lakini pia hii vita ni karata dume kwa mchina kujitangaza maana Dunia nzima sasa itataka kuona china inakuja na nin, hii itapelekea wengi wajaribu waone inaubora gan nao watajitahid kuonesha kweli wamefanya kazi hapo...
Mabadiliko huja taratibu ndio maana hiyo os yao inatumika kama android ikiwa na maana hata company zingine nje ya huawei zitaweza tumia maana yake company zote za china badae zitatumia hiyo operation. Kumbuka kuwa inatumika kwenye cm, saa, speaker, tv na magar
Chunguza utaona watu wengi...
Labour shadow justice minister Richard Burgon said the UK should avoid becoming Donald Trump's "sidekicks" and warned a US-backed conflict with Iran could be worse than the Iraq War.
Huyo ni Muingereza mwenyewe anatambua hilo, ila wamerekani wa Tanzania wao kila kitu wanawaza picha za commando...
Tujiulize swali
Kwanin tunaitaji fedha (demand for Money)
Do you believe most of people are trading with US, (buying America Products)
Umewah watilia GDP ya China in term of patching power parity against US.
Umewahi kusoma Chines Economic Reform particularly in FDI
Umewah kufatilia mataifa...
Nadhan una taarifa za kutosha juu ya thaman ya Shanghai Stock Market na ujui yuan ya China inakuwa vip katka world international reserve
Fatilia hilo kisha waza upya.
Ili kujua hali itakuwaje kwetu na mataifa mengine tujiulize bidhaa gan tunaitaji kutoka nje na nchi gan na kwakiasi gan.
Tanzania tunaagiza mafuta kwa wingi madawa vipuli nguo (consumer goods)
Mafuta hatununui marekan bali nchi za kiarabu kama saud arabia na zingine, bipuli vya mashine...
Mkuu ni kweli kabisa,
Trump ni fundi wa kutishia ila kwenye moto lazima atizame mara mbili
Jana aliidhinisha jeshi kuvamia na mifumo ya ulinzi ya Iran lakin leo karudi nyuma kuomba jeshi lisifanye hivyo maana middle east leo kungekuwa hatar kila kona
Na US ameumia zaid na kuwapa maadui wengine...
Nahuo ndio ukweli
Fikra za mtu maskini ni ndogo sana na daima anaamin kula yake ni yakupewa na sio nguvu zake.
mataifa ya ulaya yote choka tuu hawana asilimali nyingi zaid wanategemea kuibia nchi zingine wakiongozwa na us. watapiga mikwala mwisho wa siku hakuna kitu. US ameizungua Iran na anajua...
Ukiangalia hilo kwa picha ndogo (sasa) upo sahih lakin kwa kesho unaweza usiwe sahih. Fedh ya china (yuan) kwenye world reserve haikuwepo kabisa lakin leo inachukua 2-5% na Dollar inapungua baada ya kuongezeka.
Fedha inapima uzalishaji (production) pamoja na technologia ambayo inasupport...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.