DO miaka miwili china si atakuwa chimboni anatengeneza vya kwakweMwenzi mmoja umepita baada ya trump kuweka zuio la kukurupuka kwa huawei.
Sasa mambo yameanza kuwa sio mambo baada ya ofisi ya white house inayohusiana na mipango ya bajeti kuomba muda wa zuio uanze kufanya kazi baada ya miaka miwili.
Ewe mmarekani mweusi unaishi tanzania OMB wameomba iwe hivyo kwa sababu zifuatazo.
Kuna makampuni ya mawasiliano yanayotumia vifaa vya huawei na yanatoa huduma vijijini.
Zuio litaathiri baadhi ya contractors na sehemu kubwa.
Kuona hilo mr Russel (mkuu wa ofisi) akatumbua Donald Trump kakurupuka kwa kuchukua maamuzi ambayo hakuyafanyia hesabu.
Russel ameamua kuandika barua kwa makamu wa raisi wa US kuhusu hilo ombi.
Kichekesho, Kumbe Trump ana sababu ya msingi kwenye zuio la huawei.
Yaani kuhusu spying na porojo zingine hamna kitu.
Pamoja na kuongeza kodi kwa bidhaa za china imebidi atumie Huawei ili kuilazimisha china ifanye mazungumzo na us.
US chini ya trump ni dhaifu kuliko nyakati zozote.
Kwenye link wamelezea kwa kina kuhusu hili.
![]()
White House Office Requests 2-Year Delay on Huawei Ban For Federal Contractors
The White House’s Office of Management and Budget (OMB) has requested that Congress delay the ban on federal contractors using Huawei equipment. The ban,gizmodo.com
Watanunua korosho zetu kwa fedha gani mkuu? Kumbuka tunahitaji zaidi USD kuliko EURO au poundChina na Russia zimesema zinaacha rasmi kutumia USD.
Vunja mwiko nitoboe sufuria
Mmmh mkuu kama haya ni ya kweli hii si hatari kwa America ?!China na Russia zimesema zinaacha rasmi kutumia USD.
Vunja mwiko nitoboe sufuria
Hata Marekani na yeye hakutakii mema vile vile.Naipenda Marekani kwa sababu kuna ndugu zetu Waafrika wengi sana kuliko nchi yoyote duniani hata Tanzania hakuna Pure black wengi kama America .
Marekani likipigwa Bomu la Nyuklia toka Korea ndugu zetu wataangamia.
Marekani kuna waafrika wengi wanatawala na wanajihusisha kwenye siasa na Mpaka Kushika Urais.
Mungu atupe rafiki gani zaidi ya Marekani kama mtu mwenye asili ya Afrika Mashariki alipata urais wa Taifa hilo na Bibi yake akawa analindwa na FBI kule kijijini kwa Wajaluo.
China hata wakidondokewa na Jua likawaunguza wote hawatuhusu na hakuna Mtanzania aliyewahi kuoa Mchina na kuishi China.
Hakuna Waafrika wanaoishi China kama kwao na kumiliki uchumi na kujihusisha na Siasa au utawala.
Hatuna Muingiliano wowote na China zaidi ya siasa za chuki na za kikatili za CCM. Siasa za ubaguzi ,ukoloni ,utapeli,wizi, propaganda,chuki dhidi ya Demokrasia, siasa za watawala kumiliki nchi na kujitajirisha na familia zao kupitia mapato ya nchi kwa kujiwekea mishahara mikubwa peke yao kupitia umiliki wa bunge, wizi wa kura ,kudhoofisha vyama mbadala kwa kutumia fedha wanazokwapua kwenye makampuni ya umma, kuingia mikataba mufilisi kama ule wa star times kwa malengo ya kuua tv huru.
Wana CCM kama kawaida yao ni watu wanaochukia Waafrika wenzao wanapofanikiwa.
Marekani ikifanikiwa ni Black Americans wamefanikiwa mana wao ndio watalaoimiliki America muda sio mrefu na Amerika itakua ni sehemu ya Afrika kama ilivyo Madagascar.
Jeshi la China halina Mwafrika hata wa dawa. Hakuna Mwafrika Mwanajeshi kule China hata wa kuweka Target ya kulengea risasi. Unategemea ikitokea vita ya Tatu ya Dunia muafrika apone mbele ya Mchina?
Waafrika sijui nani katuloga hasa vyama vinavyotawala Afrika ndivyo vinavyotuuza karne hii tukiwa kwenye Uhuru waliouua punde tu baada ya kuupata toka kwa wazungu.
Marekani kuna mpaka Mawaziri ,majenerali Wajeshi ,CIA,FBI ,uhamiaji n.k ambao ni waafrika wenzetu mpaka watanzania wapo.
........Sasa mtu anayeitukuza China simtofaitishi na mshirikina anayesifia waganga wa kienyeji lakini ukimuuliza Mbona hapeleki mke wake au mume wake au Mtoto wake kusomea uganga wa Kienyeji anabaki kubwabwaja kama zuzu.
Siwezi kuwa mnafiki wa kuipenda China kwa sababu tu CCM imeingiza nchi kwenye janga la kuitana maadui na wasaliti bila kutafakari.
Waafrika badala ya kujenga moyo wa kuzipenda nchi zetu wenyewe tunajenga moyo wa kupenda Chama .Leo hii Afrika mpaka vyombo vya dola haviwajali wananchi vinajali Chama tawala tuu kwa sababu ya kujali vyeo na maslahi binafsi.
Tumeona Watu wanaingia kwenye chumba cha kupigia kura na kubeba masanduku ya kura mbele ya polisi na kwenda kuweka kura bandia na kurudisha bila kukamatwa kisa ni vijana wa Chama Tawala. Huo udhalimu ndio China wanaoufurahia na maswahiba zao ndio maana wanaonekana ni rafiki ili hali ni wezi wapya wanaoliibia bara letu kwa kushirikiana na watawala madikteta ili washike uchumi wa dunia kwa malengo yao.
Toka ashike yeye dunia.Dunia haina amani leo Afghanistan kesho Iran kesho kutwa Iraq mara tena Syria mara Libya.Naipenda Marekani kwa sababu kuna ndugu zetu Waafrika wengi sana kuliko nchi yoyote duniani hata Tanzania hakuna Pure black wengi kama America .

Kaka mawazo ya kusema America itakua km Madagascar futa.Unajidanganya.Naipenda Marekani kwa sababu kuna ndugu zetu Waafrika wengi sana kuliko nchi yoyote duniani hata Tanzania hakuna Pure black wengi kama America .

Umenikumbusha “Life is the bitch and death is her sister. Sleep is the cousin, what a f*ckin' family picture.Bongo kuna maajabu!!! Watu wanarushiana ngumi kisa huyu anampenda U.S.A na huyu Anampenda CHINA.
Unemployment is a son of Bitch and Poverty is her sister!!!
pesa ya China na urusi itaporomoka thamani kwa huo Uamuzi.Sababu masoko ya hisa yanatumia dola zaidi Sio yen ya China au rubuli za mrusi.Itakula kwaoChina na Russia zimesema zinaacha rasmi kutumia USD.
Vunja mwiko nitoboe sufuria
China Ni copy cat asikudanganye mtu Hana uvumbuzi wake.Copy right Sasa hivi ndizo zinambana.Lakini Hana wavumbuzi wengi.Yeye hu copy na KU paste ila chake kwa kuwa Ni photo copy ndio maana huuza Bei rahisi.ushirika kati ya china na Russia iwe kiuchumi au kijeshi sio mzuri kwa usitawi wa marekani,kuibania china technology maana yake mchina ataunda zake,halafu zitaanza kucompete na za marekani ambazo huuzwa ghali sana
China Ni copy cat asikudanganye mtu Hana uvumbuzi wake.Copy right Sasa hivi ndizo zinambana.Lakini Hana wavumbuzi wengi.Yeye hu copy na KU paste ila chake kwa kuwa Ni photo copy ndio maana huuza Bei rahisi.
China na Russia zimesema zinaacha rasmi kutumia USD.
Vunja mwiko nitoboe sufuria
Watanunua korosho zetu kwa fedha gani mkuu? Kumbuka tunahitaji zaidi USD kuliko EURO au pound
pesa ya China na urusi itaporomoka thamani kwa huo Uamuzi.Sababu masoko ya hisa yanatumia dola zaidi Sio yen ya China au rubuli za mrusi.Itakula kwao
Makampuni mengi makubwa yaliyoko shangai stock market Ni ya wamarekani.China ikichukua hiyo hatua soko Hilo nalo litabuma kwa investors ku loose confidence na China.Nadhan una taarifa za kutosha juu ya thaman ya Shanghai Stock Market na ujui yuan ya China inakuwa vip katka world international reserve
Fatilia hilo kisha waza upya.
Makampuni mengi makubwa yaliyoko shangai stock market Ni ya wamarekani.China ikichukua hiyo hatua soko Hilo nalo litabuma kwa investors ku loose confidence na China.