US dhaifu kwa Huawei: wanapanga zuio lianze baada ya miaka 2

Ili kujua hali itakuwaje kwetu na mataifa mengine tujiulize bidhaa gan tunaitaji kutoka nje na nchi gan na kwakiasi gan.

Tanzania tunaagiza mafuta kwa wingi madawa vipuli nguo (consumer goods)

Mafuta hatununui marekan bali nchi za kiarabu kama saud arabia na zingine, bipuli vya mashine tunaagiza ulaya, china japan marekan na nchi za kiarabu.
Mkuu huko Saudia ambako ndiko Mmarekani ni kama anatawala nchi zitaenda kununua mafuta kwa fedha gani?

Bipuli = vipuli
Hivi asilimia kubwa vinatengenezwa na Japan na Makampuni ya kimarekani ambayo yako China na U.S kwenyewe.
Japan ni mshirika mkubwa wa U.S utaenda kununu bidhaa gani Japan bila kuwa na USD?

China wana utaratibu mzuri sana chochote utakachoenda kukinunua Shanghai ambako nimebahatika kufika ukiwa na dollar itabidi uibadilishe iwe Yuan ndipo ununue bidhaa! Na hii kitu wameanza hata Turkey na lengo ni kuhakikisha thamani ya dollar haikui na kuathiri uchumi.

Kwa hali ilivyo sasa kama wabaya wa US wakaungana na kuacha kutumia Dollar sidhan kama kunabidhaa watakosa, isitoshe urusi pekee inaasilimali zakutosha, technology na mengine
Mkuu Urusi ni kama S.A tu hana lolote zaidi ya kuwa na technology ya hali ya juu ya silaha mbalimbali.

Na mbaya wa U.S duniani ni yule mwenye rasilimali ya mafuta na hataki kigawana nae!
Hapa Uganda si wamegundua mafuta wakisimamia misimamo ambayo itakuwa tofauti na U.S. basi tegemea vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Urusi bado si nchi yenye kutegemewa kufata bidhaa wala chochote zaidi ya Pombe!

Mafuta ya Iran, Venezuela na Russia yatatosha kupanua dhaman na uitaji wa fedha yao.
Dhaman = Thamani

Iran ana ban ya kutotumia dollar na ndio maana uchumi wake unadorora, Venezuela ni kapuku tu kama Angola uchumi wao unategemea wageni na wakiondoka shughuli imekwisha.

Russia atafanya na nani biashara bila dollar wakati wao wamejifungia, Russia si nchi iliyojitanua sera kubwa ya putin ni kuunda Military infrastructures

Leo hii Tanzania tunaagiza almost 60% ya commercial trucks na consumer goods kutoka China.
Ni kweli kabisa na huenda ni zaidi ya hapo, ila umeshawahi kujiuliza ni makampuni gani yanatengeneza bidhaa zenye uhitaji zaidi na wamiliki wake ni kina nani?

Kama watafanikiwa kuufanya mfumo wao wa international interbanking system kufanya kazi nje wa US SWIFT basi US atakuwa ktk hali mbaya sana na soft weapon yake ya Economic suction haitakuwa na nguvu tena, na ndio utakuwa mwanzo wa uboreshwaji wa sera za WB na IMF na kuwa fair pande zote sio kama ilivyo sasa.
Suction = sanctions
Hili jambo ni gumu sana, China na Russia wataacha rasmi sio wameacha kwa sababu dollar reserve bado wanayo, tutapeleka Pamba yetu kwenye soko la dunia tutalipwa mfano Yuan alafu utaibadilisha wapi?

Makampuni ya kimarekani yakiacha kufanya kazi nchini China na yale ya kichina ambayo karibu yote hutegemea vifaa kutoka U.S. sisi tutaathirika wa dunia ya 3 tutaathirika vipi?
 
Kiuchumi iran usimfananishe na hawa majamaa wawili china na Russia mkuu
Iran nae aliwahi kusema hivyo lakin sasa hivi anazisaka USD kwa magendo kule Pakistan na Afaghanistan sasa ngoja tuone hawa watazisaka wapi....
 
Mkuu huko Saudia ambako ndiko Mmarekani ni kama anatawala nchi zitaenda kununua mafuta kwa fedha gani?

Bipuli = vipuli
Hivi asilimia kubwa vinatengenezwa na Japan na Makampuni ya kimarekani ambayo yako China na U.S kwenyewe.
Japan ni mshirika mkubwa wa U.S utaenda kununu bidhaa gani Japan bila kuwa na USD?

China wana utaratibu mzuri sana chochote utakachoenda kukinunua Shanghai ambako nimebahatika kufika ukiwa na dollar itabidi uibadilishe iwe Yuan ndipo ununue bidhaa! Na hii kitu wameanza hata Turkey na lengo ni kuhakikisha thamani ya dollar haikui na kuathiri uchumi.

Mkuu Urusi ni kama S.A tu hana lolote zaidi ya kuwa na technology ya hali ya juu ya silaha mbalimbali.

Na mbaya wa U.S duniani ni yule mwenye rasilimali ya mafuta na hataki kigawana nae!
Hapa Uganda si wamegundua mafuta wakisimamia misimamo ambayo itakuwa tofauti na U.S. basi tegemea vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Urusi bado si nchi yenye kutegemewa kufata bidhaa wala chochote zaidi ya Pombe!

Dhaman = Thamani

Iran ana ban ya kutotumia dollar na ndio maana uchumi wake unadorora, Venezuela ni kapuku tu kama Angola uchumi wao unategemea wageni na wakiondoka shughuli imekwisha.

Russia atafanya na nani biashara bila dollar wakati wao wamejifungia, Russia si nchi iliyojitanua sera kubwa ya putin ni kuunda Military infrastructures

Ni kweli kabisa na huenda ni zaidi ya hapo, ila umeshawahi kujiuliza ni makampuni gani yanatengeneza bidhaa zenye uhitaji zaidi na wamiliki wake ni kina nani?

Suction = sanctions
Hili jambo ni gumu sana, China na Russia wataacha rasmi sio wameacha kwa sababu dollar reserve bado wanayo, tutapeleka Pamba yetu kwenye soko la dunia tutalipwa mfano Yuan alafu utaibadilisha wapi?

Makampuni ya kimarekani yakiacha kufanya kazi nchini China na yale ya kichina ambayo karibu yote hutegemea vifaa kutoka U.S. sisi tutaathirika wa dunia ya 3 tutaathirika vipi?
Mkuu nataka unifafanulie hizi vitu hapa?

Tujiulize swali
Kwanin tunaitaji fedha (demand for Money)
Do you believe most of people are trading with US, (buying America Products)

Umewah watilia GDP ya China in term of patching power parity against US.

Umewahi kusoma Chines Economic Reform particularly in FDI

Umewah kufatilia mataifa gan yanaongoza kwa uwekezaji China
Wengi wanajua US ila find out.

Unajua ni kwanin IMF imetambua kama Yuan ni moja wa Word Reserve

Umewah kuchimba na kujua SWIFT inayo ongozwa na marekan

Usemayo kwa leo ni sawa ila kwa kesho sio rahis
Confidence ya Dollar inapungua sana sana ndio maana saiz ina 62% of world total reserve ila mwanzo haikuwa hapo.

Acha jokes mazee mpaka sasa hajapatikana mrithi sahihi wa nafasi ya U.S. inaweza kuchukua hata karne nzima ili uliwazalo litimie!
 
taratibu tu tutafika kila nchi inaanza kuchukua tahadhari kwa u.s kwa sababu ya kutumia dola kama fimbo
 
Vizazi vinne vijavyo na huenda isitokee watoto wakike wamekuwa wengi sana hii mbinu itawanufaisha
 
Back
Top Bottom