Recent content by Erick tryphone

  1. Erick tryphone

    Taratibu za kupata passport ya kusafiri zipoje?

    Mimi ninakitambulisho cha NIDA but sina Cheti cha kuzaliwa kimepotea then nimepata emergency natakiwa kusafiri kwenda nje ya nchi Je naweza Chukua affidavit (KIAPO CHA KUZALIWA)? Au kwa sisi vijana ni lazima wataomba cheti cha kuzaliwa?
  2. Erick tryphone

    UDOM second round

    Kwa wale ambao hawajajibiwa **** uwezekano mkubwa wakawa wamepata Chuo kesho tena wapigieni watawapa majibu ya kueleweka
  3. Erick tryphone

    UDOM second round

    Endelea kuwapigia wakikupa majibu uje hapa ulete feedback
  4. Erick tryphone

    UDOM second round

    Nahisi wale ambao profile sent hazijabadilika mtakua mmepata chuo so fanyeni kuwapigia UDOM kupata uwakika zaidi
  5. Erick tryphone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nataka namba ya kampuni ya mpesa ya meridian nataka ku deposit pesa
  6. Erick tryphone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Namba ya kampuni ya meridian ni ipi. Nataka kudeposit pesa meridian
  7. Erick tryphone

    Kwa wale wote waliosoma HGL , HKL na KLF soma hapa

    Kwangu mimi napenda kuwashauri wadogo zangu kwa walio soma HKL, KLF au HGL apply UDOM uje usome Bachelor degree in Chinese kwasababu hii course now ina soko sana sema tatizo watu wengi sana hawalijui hili wanao soma hii course mwaka wa pili wapo wawili tu na mwaka wa kwanza wapo 12 tu but hii...
  8. Erick tryphone

    Wale waombaji wa Vyuo mwaka 2018/2019 karibuni hapa

    Kwangu mimi napenda kuwashauri wadogo zangu kwa walio soma HKL, KLF au HGL wa apply UDOM wasome Bachelor degree in Chinese kwasababu hii course now ina soko sana sema tatizo watu wengi sana hawalijui hili wanao soma hii course mwaka wa pili wapo wawili tu na mwaka wa kwanza wapo 12 tu but hii...
  9. Erick tryphone

    Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    Kwangu mimi napenda kuwashauri wadogo zangu kwa walio soma HKL, KLF au HGL wa apply UDOM wasome Bachelor degree in Chinese kwasababu hii course now ina soko sana sema tatizo watu wengi sana hawalijui hili wanao soma hii course mwaka wa pili wapo wawili tu na mwaka wa kwanza wapo 12 tu but hii...
  10. Erick tryphone

    Spika Ndugai: Kama kuna ofisa anamuhitaji mbunge aniambie, hatuwezi kwenda kibabe

    Yeah ndio sheria na kanuni zinasema hivyo so inabidi zifatwe
  11. Erick tryphone

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Hahaaaaaaa umeongea ukweli kabisa hii ya kuitana kituoni kwa kutumia Tv ndio naiskia kwa huyu mkuu wa mkoa
Back
Top Bottom