UDOM second round

UDOM second round

hii profile ya selected ni ya mtu wa round ya pili???
Hapana ndugu hiyo iliyokua selected ni yangu round ya kwanza , hiyo aliyokosa ni round ya pili nilikua namfanyia demu fulani naona amekosa katika round zote.
 
Nyinyi ambao hamjajibiwa mnahakika round ya pili mlifanya application , maanailikua inatakiwa uchague koz kwenye list itokee koz za round 1 na koz za round 2.je profile zenu zipo hivyo kwa sasa.
 
kulikua kuna option ya kudelete hata mi niliwapigia wakanambia nidelete ndio niapply tena io itakua hawa update ina maana wale ambao waliaza kuomba second round yakwanza hawakuomba nao profile zao zitakuaje
 
Me du niliyemsaidia siku delete anything amejibiwa japokua amekosa
 
Nyinyi ambao hamjajibiwa mnahakika round ya pili mlifanya application , maanailikua inatakiwa uchague koz kwenye list itokee koz za round 1 na koz za round 2.je profile zenu zipo hivyo kwa sasa.
Yan sijakuelewa mkuuu coz mm kwny profile angu zipo course za round ya kwnz nq chn zipo za round ya pil
 
IPO HV mkuu
Kwan ww status ako ipoje now?
Screenshot_2018-09-28-07-19-24.jpg
 
Nahisi wale ambao profile sent hazijabadilika mtakua mmepata chuo so fanyeni kuwapigia UDOM kupata uwakika zaidi
 
Back
Top Bottom