UDOM second round

Jana usiku wametoa na admission letter , medical forms , fee structure na form nyinginezo labda wanatayarisha vitu vyenu wa upload pamoja.
 
nimewapigia Udom niliongea nae akanambia nimtajie namb ya form 4 alafu nimpigie baada ya masaa mawili mjalibu na nyiny kuwapigia wanapokea test namb zote walizowekaa zipo kama 10 tupate mlekesho uliokamili
 
Hv kuna mtu ambaye bdo hajajibiwa kweny profile yake kama mm?
mkuu usiye moyo tupo wengi hata mimi sijajibiwa ingawa rafiki zangu 2 wamejibiwa wamekosa, na ukichunguza sijasikia aliyejibiwa kuwa amepata sasa cjw sisi yaani wamechukia application zetu mpaka wamekataa kujibu sielewi...ILA NIMEWAPIGIA UDOM TECHNICAL SUPOTA mmoja kaniambia nisubir kati ya kesho na kesho kutwa kama nitakuwa sijajibiwa niwacall tena. Tecnical sapoti mwingine kaniambia waliojibiwa ni waliopata chuo zaidi ya kimoja na waliokosa..SITAKI KUSEMA KUWA AMBAO HAWAJAJIBIWA WAMEPATA HAPANA ILA KASEMA KUNA ASILIMIA KAMA 50 AMBAO HAWAJAJIBIWA WANAWEZA KUPATA...
NB ZILE NAMBA ZAO KARIBU NA PROFILE ZETU UKIWAPIGIA WANAPOKEA ILA UWE MUDA HUO HUNA HASIRA MAANA UNAWEZA KUTUMIA SAA NZIMA WAKO BIZE
 
Nyinyi ambao hamjajibiwa mnahakika round ya pili mlifanya application , maanailikua inatakiwa uchague koz kwenye list itokee koz za round 1 na koz za round 2.je profile zenu zipo hivyo kwa sasa.
ndiyo mkuu tukireview application zinaonekana zote application ya 1na 2 na pemeni wameandika maombi yamepokelewa kikamilifu.
 
mkuu usiye moyo tupo wengi hata mimi sijajibiwa ingawa rafiki zangu 2 wamejibiwa wamekosa, na ukichunguza sijasikia aliyejibiwa kuwa amepata sasa cjw sisi yaani wamechukia application zetu mpaka wamekataa kujibu sielewi...ILA NIMEWAPIGIA UDOM TECHNICAL SUPOTA mmoja kaniambia nisubir kati ya kesho na kesho kutwa kama nitakuwa sijajibiwa niwacall tena. Tecnical sapoti mwingine kaniambia waliojibiwa ni waliopata chuo zaidi ya kimoja na waliokosa..SITAKI KUSEMA KUWA AMBAO HAWAJAJIBIWA WAMEPATA HAPANA ILA KASEMA KUNA ASILIMIA KAMA 50 AMBAO HAWAJAJIBIWA WANAWEZA KUPATA...
NB ZILE NAMBA ZAO KARIBU NA PROFILE ZETU UKIWAPIGIA WANAPOKEA ILA UWE MUDA HUO HUNA HASIRA MAANA UNAWEZA KUTUMIA SAA NZIMA WAKO BIZE
Kwn na ww haujapata mkuu?
 
Back
Top Bottom