Mawazo chanya tayari unayo. Sadaka zako elekeza kwa wahitaji, mfano wafungwa, wagonjwa, yatima, wajane na wazee maana hii ndiyo ibada inayomfurahisha Mungu wa Mbinguni. Na ukiishi hivi Mungu mwenyewe atakuinulia watu na marafiki wapya wengi sana. Lkn ukitaka kuzikwa vizuri kwa mapambio na jeneza...