Recent content by Erasto G

  1. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Love quote gani huwa inakuinspire katika mahusiano yako?

    Hahaha jaman kitu nikikikubali niki declare interest nakuwa imekosea ?
  2. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Love quote gani huwa inakuinspire katika mahusiano yako?

    Nimeipenda sana hii [emoji106][emoji106][emoji106]
  3. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Wale wanajitambua mkuu[emoji16][emoji16]
  4. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Kwa maelezo ya rais yaan makonda hana kosa ni umbea tu. . . So sad [emoji17][emoji17]
  5. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Profesor Joseph Haule kumbe aliona mbali ..

    Daaah ! Bado miaka mi 3 ni mingi saana asee
  6. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Napenda kuoa msichana asiyezaa

    Ya welcome
  7. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Napenda kuoa msichana asiyezaa

    Nipo vzr mkuu ila interest tu !
  8. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Napenda kuoa msichana asiyezaa

    Bora umenisaidia mkuu[emoji122][emoji122]
  9. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Napenda kuoa msichana asiyezaa

    Huwez kuacha kumsapoti mke unaempenda na ujauzito ni matunda ya ulichokifanya so unakubali na mnashirikiana na kusonga mbele !
  10. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Napenda kuoa msichana asiyezaa

    Sasa we unafikiri ni nini kifanyike, ni bora msichana mwenye tatizo hili asiolewe kabisa ?
  11. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Napenda kuoa msichana asiyezaa

    Sure !
  12. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Nampenda san lakin ni msaliti.

    Umewahi kuona wapi mke anaolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja na asiitwe malaya? Lkn mwanaume akioa wanawake wengi na kuwa hudumia vzr anapata sifa kwa jamii na kuonekana wa maana!
  13. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Napenda kuoa msichana asiyezaa

    Mi nataka mdada bwana [emoji41][emoji41]
  14. Erasto G

    JamiiForums Tanzania Napenda kuoa msichana asiyezaa

    Lkn mi nadhan committment ndio kitu cha msingi. . . Yaan hakuna kitu kinawexa kufanyika jamii isikuseme kwa lolote. . . Haiwezekani !
Back
Top Bottom