Sheria ya kuchepuka ni kwa mwanaume pekee kwa msichana unajilazimisha unakuwa umekosa nini af pia ukichepuka inatakiwa uhakikishe mwenzio hajui hata kidogo co ki vile kabsmvumulie tuu ce mbona mnatupanga tunavumilia sana tuu au sheria kuchepuka n kwawanaume tuu
Nimeshaachana nae [HASHTAG]#Valentina[/HASHTAG] kin nashangaa roho inaniuma sana af mbaya zaidi anapokuwa analia nashikwa na huruma sana natamana ata nicmuone tena ili nimsahau nicmuhurumie kini yeye anafaham mazingira yangu nnapopatikana ananifata hadi uko yan co cri nnateseka sana yan popote anaponiona atakama ni barabaran anaanza kulia cjui ananini.Achana nae huyo
Manzi akizengua mteme tu zaid ya hapo untaka kufa kwa BpWadau naomben ushaur.
Mim ni kijan na nimekuw na binti ni mpnz wang kin mpaka wazaz wameshafaham yan kwet na kwao na nimewah at kumpelek hom ila haikiw uchumba official ni katik mbinu za kumridhisha.
Huy mpnz wang huwa anadai ananipenda san tangu nip nae nnasom amekuw na mimi akinivumilia had nimemaliz na sasa ninatafta ajira bad nilikuw nae.
Lakin tatiz la huy mpnz wang huw akiwa na shida haniambii af matokeo yak nimewah kumkuta na m2 mwingne wanamahusiano mara2 yan mara ya kwanz niliwah kumfumania na mwanaume akaniomb msamah san yan akanibembelez san zaid ya miezi miwil analia nikaw nimemsameh lakin sas nimekuta ten kweny cm yak kun mtu mwingin nae wanamawasiliano ya kimapenz na ni miez minne5 tang nimemsameh kosa la kwanz.
Nilichokifany nimemwambia tumevunja uhusiano sas tang juz ananibembelez san nashindwa kumsameh kwa sabb roh inanium lakin moyon ninampenda san kias had nnashindwa kula wal kupat usingiz mbay zaid anapolia machoz ananiumiz zaid ukizingatia nina miak4 nip nae.nawaz san nakosa jibu la kufany.
Utawaonea huruma wangapi Dunia hii? Ukiamua amua kiume move on baba au hujiamini mdogo wangu? Unakijiufito nini unaogopa kutangazwa [emoji23] [emoji23]Apo naweza kujitahidi kufanya hivyo kilichonipa mawazo ni huruma2 make najikuta kumuonea huruma sana nnapoona analia ila tabia zake ndo zinanichosha san
Nadhani ni utoto unamsumbua huyu, tumsamehe tu maana vijana wengi wamesha haribika na vifupisho visivyo na tijaHauandiki kwa ufasaha
cjachanganya kwanini usiandike sijachanganya
Ahsante bibiePole
kuchepuka n kwawote wasiojielewa haijalish wakike au kiume labda la maana heshma mwenzio asijue ila unapokua na kiherehere ndo ukubaliane na unachokionaSheria ya kuchepuka ni kwa mwanaume pekee kwa msichana unajilazimisha unakuwa umekosa nini af pia ukichepuka inatakiwa uhakikishe mwenzio hajui hata kidogo co ki vile kabs
Umewahi kuona wapi mke anaolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja na asiitwe malaya? Lkn mwanaume akioa wanawake wengi na kuwa hudumia vzr anapata sifa kwa jamii na kuonekana wa maana!mvumulie tuu ce mbona mnatupanga tunavumilia sana tuu au sheria kuchepuka n kwawanaume tuu