Erasto G
Member
- Mar 18, 2017
- 55
- 41
- Thread starter
- #41
Sasa kama mtoto yupo na msichana hawezi kuzaa si ndio inakuwa vzr zaid kwa mume kutozaa nje ?The fact kwamba una mtoto tayari utamuumiza tu mdada wa watu. Angalau kama mama wa mtoto angekua katangulia mbele ya haki... Ila kama yupo hai na mna mawasiliano duuh! Anyway!!! Endelea na msako mkuu



