Nimekumbuka baada ya kusiliza nyimbo mbili alizoimbaga zamani kidogo
..Kuna wimbo aliimba unaitwa ..Ndio Mzee..
Na ule sio mzee...nimezikumbuka sana naomba wadau msikilize hizo nyimbo ..nataka niziweke hapa ila nimeshindwa
Hakuona Mbali Alielezea Tu Hali Halisi Ni Kama Roma Mkatoliki Kwenye Mathematic Anaposema "bandugu Bwaga Manyanga Ayaokote Magufuli'aliimba Tu Ila Hakujua Mrithi Wa Kikwete Ni Magufuli Ni Mambo Tu Yaliyopo Labda Yapo Kwa Mda Mrefu.
Sijui ilikuwaje nikaangusha kura yangu kwa huyu jamaaa leo wanasema anajua anaweza ndo mana akachukua form wakati wana nchi ndo tumwemweka hapo so disappointed
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.