All the best mkuu! Nakuombea mafanikio.Huwez kuacha kumsapoti mke unaempenda na ujauzito ni matunda ya ulichokifanya so unakubali na mnashirikiana na kusonga mbele !
Nimemuombea mafanikio mkuu!yeye anachoitaji ni huyo mwanamke tena huyu jamaa safi sana hata ukimupm utakuwa unaelewa kila kitu koz kajitahidi kuwa mwazi kwa kila jambo! Hawezi kuweka siri kubwa hapa.lakn kasema mwenye interest akuje