Recent content by epistemology

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hassan Ngoma: Musiba ni spika tu inayotoa sauti, Dr. Bashiru ashughulike na waya wa spika!

    wadanganyika wenzangu hebu tushtuke, tusikubali kuchezeshwa ngoma isiyo yetu. hii ngoma inapigwa kipindi hiki kwa sauti ya juu ili kutusahulisha kufuatilia midundo ya ngoma inyotuhusu, ngoma halali kwetu kuicheza. mafao yetu. wanatuchezesha ngoma mpya. tayari ngoma ya MAFAO YA KUSTAAFU...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Chahali usipotoshe, Dkt. Kipilimba hajawahi kuwa chaguo la Membe kwa Magufuli

    TAYARI WAMESHATUHAMISHA KWENYE MADA YA MAFAO YETU. NA TULIVYO NA AKILI ZA KONDOO... TUMEFUATA. TUKIJA KUKAA SAWA MJADALA WA MAFAO YA KUSTAAFU UMESHASAHULIKA. (nimeandika kwa herufi kubwa kama ishara ya kupiga kelele)
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tusimlaumu mh Rais Magufuli kutokana na hukumu ya samaki

    Ni pale mbaazi inapokosa maua... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hatua sita za uumbaji

    ANALOGY OF THE WATCH-MAKER!!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    good
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Vijana walipiga shule, ikaja paper, wakapasua. Wameenda kupiga kwata, wameiva vyema, wamerudi mtaani kwetu wakiwa imara. Je ni lini wataitwa kazini? Njaa kali huku mtaani, wasije wakautumia ujuzi wa kijeshi huku mtaani kwetu. Tafadhali mwenye taarifa lini jamaa wa tamisemi watataja vituo...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Pinda "Wapigwe Tu" yapoteza ushirikiano baina ya raia na polisi

    hii lugha uliyotumia sitashangaa nikiambiwa eti nawe una shahada katika.... NAKUPENDA TANZANIA
  8. E

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    nashangaa nimeweka neno hapa na halionekani. mimi mgeni, je ndio utaratibu?
  9. E

    JamiiForums Tanzania AZAM TV:Kipindi cha Aisee kinadhalilisha wazazi

    inanishangaza kwa vilaza, wasio na mila wala destuli nao kuwa humu JF, tena sio jukwaa la vichekesho. jamaa alichoandika sio kwa ajili ya watoto wadogo wasio na majukumu ya kulea wazazi na wakwe zao. kwa sisi wenye majukumu mbele ya jamii tukufu ya kiafrika, tumeelewa na kuunga mkono. hao...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    wapi alama yoyote kuenyesha kuwa waraka/tamko hili limetoka sehemu tajwa? japo jina na signature ya mwandishi? au japo kijimuhuli cha taasisi tajwa? hofu yangu isije ikawa nimeandika mimi na kuwasingizia waislamu wenzangu. nawasilisha.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha taasisi ya kusaidia watu waliomaliza vifungo vyao gerezani

    hongera kwa kuwa na kitu ambacho vijana wengi wa kitanzania hatuna; UBUNIFU. tumezoea kusubiri kuanzishiwa, na kulalamika. andaa proposal yako, nenda pale posta, onana na maafisa magereza, hata kama nao watakupa majibu fyongo, usikata tamaa, songa hadi ofisi za haki za binadamu, utapata ushauri...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Shule kuwaondoa wanafunzi wenye alama za chini

    serikali kupitia kamishina mkuu wa elimu imetoa waraka mwaka huu ukipinga jambo hili. baadhi ya shule ilifikia hatua ya kubambikiza makosa kwa wanafunzi wanaohisi hawatafaulu na kuwafukuza shule. Kwa mujibu wa waraka huo, ni makosa kwa shule kuwaondoa wanafunzi walio katika mwaka wa mtihani...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

    shikamoo JF
Back
Top Bottom