Nimependaaaaaaa coz kama geog vipindi vi tatu kwa wiki after dat ni bata mpakaaaaaaaaa next weekiiiiiiii Ualimu bwana raha sana.
Mtatembea na bahasha za kaki mpaka mtaomba poooooi. Vyuoni mlitutesa sana na vicoz vyenu vya kiboya utasikia nimepata field NSSF nyoooo haya nenda wakakuajiri hao hao pumbavuuuuu
Hakuna ajira mwaka huu. Serikali haina fedha kabisa za kuwaajiri walimu. Poleni sana.
Hahahahahaha wee jamaa umenifanya nicheke sana Sisi tulipokua chuo tumesoma na mabrothermen wengi sana pale UDBS huweiz Amini waliopata kazi mpka leo naowafaham kati wao wako wa wilii wengine kumi badoo kabisaa wameamua kutafuta kufundisha shulee na ubrothermen wao woteee
Hakuna ajira mwaka huu. Serikali haina fedha kabisa za kuwaajiri walimu. Poleni sana.
hizi habari hata wizara ya elimu nimezisikia jana kwa kiongozi mkubwa. Kadai hawa wataajiriwa baada ya uchaguzi mkuu. Wanadai eti wahisani hawajatoa fedha ingawa bajeti iliandikwa. Dah? Ni sheeeda mwaka huku bora walimu watafute njia mbadala. mwaka huu serikali imefulia sana.
Tar moja....