Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Habari wakuu,kumekuwa na siasa za maji taka zisizo na kichwa wala miguu za kumlaumu na kumtuhumu doctor maguli kwa hasara iliyotokana na kesi ya samaki.
Rais magufuli kipindi kile alijitahidi kadri ya uwezo wake kupigania maslai ya Taifa hili na kila mtu alijua wachina walivua katika eneo letu la bahari kinyume na sheria kwa upande wake na ukomo wake wa mamlaka kwa kipindi kile alifanya kazi yake kwa ufanisi mkubwa na uadilifu wa hali ya juu.
Je wakulaumiwa ni nani? Ndugu zangu hakuna asiyejua kipindi kile nchi ilikuwa imetawaliwa kwa kiasi kikubwa na rushwa na uhujumu uchumi rais magufuli alikamalisha kazi yake na kuachia mamlaka zinazofata hapo nazungumzia mawakiki wa wizara ambao kwa kiasi kikubwa wamechangia kwa maksudi au uzembe kushindwa kwa kesi ile.
mytake tuunge mkono juhud nzur za mh rais kutukomboa kiuchumi
Sent using Jamii Forums mobile app