Recent content by epicurus

  1. epicurus

    JamiiForums Tanzania Majina ya kibantu yanayofurahisha

    Mlekwanyuma
  2. epicurus

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutazama pornography na picha za nusu utupu online humfanya mtu kuwa maskini kwa 100%

    Labda wacheza ngono uliowazoea wewe wale wa buza, ila wale wa nje ni matajiri aisee
  3. epicurus

    JamiiForums Tanzania Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

    Malizia afya ya akili
  4. epicurus

    JamiiForums Tanzania House4Sale Pagale linauzwa na bank, tshs.6 milioni, udindivu,Mapinga-Bagamoyo

    Ukiifungua tu hiyo websites uni tag
  5. epicurus

    JamiiForums Tanzania Ungechukua uamuzi gani baada ya kumkuta mpenzi wako amepakatwa na rafiki yako?

    Kanunue chupi tano za kike kubwa ( za wenye msambwanda), halafu kila siku asubuhi unaanika moja pamoja na nguo zako.......Atakuja kukuomba msamaha, utaendelea kula tunda na kusamehewa kodi
  6. epicurus

    JamiiForums Tanzania Nimepata homa kali baada ya kufanya mapenzi

    Pole sana, wahi hospitali kabla ya kuanza kukojoa dagaa
  7. epicurus

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Unajua namna ambavyo baba yako alilipata hilo shamba?
  8. epicurus

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kubadili dhehebu ili kufunga ndoa

    Mbona ulianza uzinzi mapema sana...... Ashakugegeda sana na amekuona hufai now.... Dini haiwezi kuwa kigezo cha kutodunga ndoa
  9. epicurus

    JamiiForums Tanzania IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

    Kwa hiyo jimbo lipo wazi..... Aliyekuwa anamnyemelea mke wa katibu amerahisishiwa kazi...
  10. epicurus

    JamiiForums Tanzania Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

    Aiseee walikuwa kero jamani, wilaya moja unakuta vituo vyao vinne au zaidi.... Mbaya zaidi wote wanataka hela.... Mpaka madereva wakajizoesha kutoa hela kila wanapowaona hata kama hawajatajiwa makosa......
  11. epicurus

    JamiiForums Tanzania Watu waliokufa na walio hai, idadi ipi kubwa?

    Una uhakika????
  12. epicurus

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kukata mti ili kuepuka faini

    Wakati unaupanda na kuumwagilia uliwapa taarifa, na waliitana kufanya vikao?
  13. epicurus

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya Tsh 800,000 (laki nane) naombeni ushauri ninunue simu gani nzuri

    Mara nyingi kwenye maisha, kama huna hela ukiwaona wenye nazo wakifanya matumizi, unadhani wanafuja.... We komaa na Tecno yako ya 130,000/= Mwache mwenzio anunue simu kulingana na uwezo wake.
  14. epicurus

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

    Mawakala wa vyama walikuwa wapi? Je nao walishiriki katika kubadilisha?
  15. epicurus

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

    Maana yake, huyo aliyeanzisha uzi.... Ameanzisha uzi ambao haujakamilika, akiwa na maana uanzishwaji wa uzi huusisha uandishi...... Hivyo ili ukamilishe uzi vizuri unatakiwa uwe na taaluma ya uandishi au uwe na chembechembe zake.
Back
Top Bottom