Recent content by Ephraim Mollel

  1. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Mama anaongoza kwa 197 wakati mzee ana 187
  2. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Anashinda mama nakuambiaa na muendelee ivo ivo
  3. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Tofauti mpaka sasa ni 4 168 kwa 172 na kura za wajumbe 535 ambazo ndo huamua Nani raisi na mshindi ni 270 so hizi hazitusumbui mama ndo Raisi Wa statr
  4. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    270 ndo atashinda kati ya 535 kaka
  5. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Kina kura za wajumbe Wa marekani ambazo ndo huamua Nani rais kakaa
  6. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Anaweza akashinda hizi za wananchi na zile za wajumbe akashindwa hivyo hii haitupi shodda wana Wa mama Hillary
  7. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Mama anatoboaaa! Raid clinton
  8. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Cdhani km ni kweli coz nimeisoma jukwaa la siasa asubui imefutwa uku tena! Hii bado haipo na kama ipo mbn maelezo hafifuu?
  9. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Duh! Asee ipo kazi
  10. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania Clouds Media mnajifanaya wazalendo lakini hamna uzalendo hata nukta!!!

    Akuna llt kakaa iyo ni kufunikafunika tyuu
  11. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania Clouds Media mnajifanaya wazalendo lakini hamna uzalendo hata nukta!!!

    Figisu tyu kwani wameanzia hapaa? Je ile ya chidi na busta ryms? Chidi mbn hakuperform ilikuaje nae chidi alikua safari lager?
  12. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais asipochukua hatua tutajua yeye ndiye amegawa zile hela

    Ipo cku utaulizwa cjui utajibu nn kwa Muumba
  13. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania First year UDSM wapewa pesa pungufu za boom

    Maisha magumuuu
  14. Ephraim Mollel

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kabla hujawasilisha video ya bomu la Soweto, umejiongezea mzigo wa mil 10 za Wabunge

    Hapo unakoseaa ucmdhiaki Muumba! Unawaitaje bnadamu wenzio nyumbuu? Tafakari ndugu
Back
Top Bottom