First year UDSM wapewa pesa pungufu za boom

Lakini first year si mliambiwa mtapewa boom kutokana na asilimia za mkopo uliopata sasa mnashangaa nini
 
habari zenuu,wanafunzii wa mwakaa wa kwanza wachuo cha udsm wapewa boom zilee za asilimia sioo laki 710 kama ndalichkoo halivyosemaa,mfanoo mwingnee kapewa lak4,mwingne laki 6
Hii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.

Upper case na lower case nadhani ni vitu ulivyofundishwa tangu Primary school, sasa iweje kijana unayetalajia kuwa mbobebezi mpaka leo hata kanuni tu za uandishi hujui?

Unapoanza sentensi huwa tunaanza na herufi kubwa. Sitalajii excuse kwa jambo kama hili kutoka kwa mwanafunzi ambaye akili yake bado haijakutana na suruba za kitaa.
 
Eti chuo cha udsm......ndo walewale wa barabara ya Songea road.
 
Tuna janga la Elimu Tanzania, nina mashaka sana na hawa vijana wa leo kama wana hata uwezo wa kuhifadhi kichwani vitu basic kabisa kama multiplication table.
 
Hiyo hela mshukuru Mungu .

Hiyo hela ndo meenda nayo jana FIESTA,mmenda nayo CINEMAX,mmeenda nayo gesti kusugulia mademu.
Meenda nayo kupigia mtungo hapo hall six,Mungu anakuona.

Maisha yako yote jana ndio umeanza kunywa HEINEKEN ,na dem Ukamnywesha AMARULA,kuonyesha wewe ni kidume wakati hela za mkopo,hela wamekatwa wamama wanaofagia barabara ,waosha maiti,polisi wanaokwsha barabarani,eeh hamna huruma,Asaivi mpo na huyo mwanamke BREAK POINT mnazimua supu ya SWALA alafu mnaenda GESTI hapo Sinza kumalizia shetani alichowaanxishia jana,eeh Mola kwa wanaotufanyia hivi nina maombi machache kama ifuatavyo:-

1:-Wanafunzi wote walitumia hela ya mkopo kuzinia/sex ,kupigia dem wapate supp first semister,wapate carry forwaed, na semister ya pili wa discontinue.

2:-Waliosex huku wamepata mkopo 100% washike mimba,washindwe kuendelea na masomo,Mwanaume amkimbie na kwao afukizwd maana mahahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele.

3:-Wapate UKIMWI na magonjwa mengineyo ili iwe funzo.

4:- Wakute vyumbani mwai wameibiwa Laptop zao,simu na hela waliokuwa wameficha chini kabisa mwa begi.

5.:-Watakao nusurika kabisa basi mwaka wa mwisho wafeli/disco ili wajutie na wakumbuke hii siku ya fiesta,wakurudie.

6:- Hili ni ombi langu la milele waokoke na kusamehewa dhambi.,wameshindwa kuelewa FIESTA mwanzilishi wake ni Free Mason!
 
Mwandiko wako unafanana na wa kaoge,nahisi ni wewe mwenyewe eti?vipi jana ulibahatika kupata vidume wangapi?
 
Hao waliopata laki nne au nusu itakua waislam,ndalicha anajulikana kwa chuki na hao watu,ipo moyoni mwake.
 
Hii ni hasara kwako na kwa familia yako, msomi wa chuo kikuu hata kuandika hujui unawaza boom tu.

Upper case na lower case nadhani ni vitu ulivyofundishwa tangu Primary school, sasa iweje kijana unayetalajia kuwa mbobebezi mpaka leo hata kanuni tu za uandishi hujui?

Unapoanza sentensi huwa tunaanza na herufi kubwa. Sitalajii excuse kwa jambo kama hili kutoka kwa mwanafunzi ambaye akili yake bado haijakutana na suruba za kitaa.
Unayetalajia = Unayetarajia. Jaribu kuwa smart na wewe kabla ya kukosoa...
 
Back
Top Bottom