Recent content by Enugu

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unaumizwa na break up pata tiba hii

    Asante sana kwa funzo mkuu, binafsi sikuwahi kupitia hali ya kuumizana kwenye mahusiano ila yamenikuta mwezi aiseee acha tu mapenzi ni shidaaa!
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu 5 vya kufanya baada ya kuachana na mpenzi wako

    Mimi yamenikuta leo usiombe hichi kitu kinaitwa mapenzi ni shida
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kitendo alichokifanya Kelvin Yondani dhidi ya Asante Kwasi

    Umemuelewa Vizuri mleta mada alichoandika?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Niko salama, naomba radhi kwa taharuki iliyowakuta watu wangu wa karibu

    Huo ndo ukweli mkuu na hii tabia imejijenga na inazidi kujijenga kadiri siku zinavyoenda hata ikiwezekana labda huo upande haujausika unakuta watu wote tunanyooshea vidole upande huo!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Niko salama, naomba radhi kwa taharuki iliyowakuta watu wangu wa karibu

    Kwani raia ndo hapaswi kutolewa taarifa kama kuna shida kaipata au kuna tatizo na unahitijika msaada?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Niko salama, naomba radhi kwa taharuki iliyowakuta watu wangu wa karibu

    Salaam wapendwa Napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha kuwa mimi nipo salama japo juzi kuna watu ambao hawakujitambulisha ni akina nani walifika nyumbani kuniulizia ikiwa hawafahamiki nami sikuwa nyumbani nilipata taarifa tu Nawaomba radhi wananchi wote kwa TAHARUKI yote iliyojitokeza kwenye...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Niko salama, naomba radhi kwa taharuki iliyowakuta watu wangu wa karibu

    Habari za muda huu wakuu Kuna taarifa ambazo hazijadhibitishwa zinaenea kuwa mwanadada na mpiganaji wa Chama cha CHADEMA, Bi. Hilda Newton haijulikani halipo na simu zake hazipatikani watu wanasema mara ya mwisho kuonekana ni siku ya sikukuu ya Muungano. Tunaomba viongozi wa CHADEMA mfuatilie...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

    Hongera sana Brother Pascal brother umetuwakilisha vema Jf angalau na Jf imetoa mtu sasa hadi anaitwa kwenye makamati ya bunge, akitoka Pascal, mshanajr ajiandae na maandiko yake ya uganga uganga....hii nchi tunaijua wenyewe watanzania
  9. E

    JamiiForums Tanzania Uelekeo mpya wa upinzani na nguvu ya Zitto Kabwe

    Kiukweli kwa sasa Chadema hakuna mtu wa kuweza kuchambua na kunyumbulisha vitu vizito kama hivyo huo ndo ukweli yani tuseme leo Lissu asiwepo ndo basi tena angalau mnyika lakini naye kwa sasa naona uwezo umeshuka sana, hao wakina msigwa, lema ndo uwezo huo hawana, mbowe alikuwa anamtegemea sana...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hongera Wakili Fatma Karume "make love" not war!!

    Hata mimi nilikuwa naangalia nilivyoona ujinga wao nikabadili channel
  11. E

    JamiiForums Tanzania Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Sasa mbona umechanganya lugha sasa? Au ndo kuumwa kwenyewe?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbeya: Basi na Noah yagongana na kupelekea vifo vya watu nane na mmoja kujeruhiwa

    Mkuu sasa wao wafanyaje? Mimi naona ishu kubwa ni elimu tu izidi kutolewa kwa madereva wetu humu barabarani na ukaguzi wa maana wa magari kila wakati, sababu hata huyo RPC ashinde barabarani kuanzia asubuhi lakini kama dereva yupo hovyo na gari ni bovu bado matukio ya ajali yataendelea
  13. E

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    Jamaaa lilivyotajwa jina lake kanisani aiseeee watu walishangilia balaaa yani hatari japo wengine pia walishangiliwa lakini lema ilikuwa zaidi..hutaki acha.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amesema akitoka Arusha anakwenda ziara Mkoa wa Iringa

    Kwa hiyo ulitaka Rais atumie baiskeli?
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwa Padre Silvio Mnyifuna kuna kitu cha kujifunza hapa!

    GAWANYIKENI MTAWALIWE KIULAINI (DIVIDE ET IMPERA) Tanzania ni nchi nzuri. Wakazi wake huitwa na majirani zao kuwa "AKO NA KISWAHILI MREFU," pia "ADHIBU KWANZA KUJITETEA BAADAYE" mabingwa wa kucheza mpira wa miguu kwa mdomo. Kisiasa ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi. Hata hivyo tofauti za...
Back
Top Bottom