Rais Magufuli amesema akitoka Arusha anakwenda ziara Mkoa wa Iringa

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,792
2,000
Wana Iringa mjiandae na ujio wa Rais Magufuli kwa ziara ya siku kadhaa akiwa anatokea Arusha ambako yuko mpaka leo.

Rais ameyasema hayo muda huu akiwa anatoa hotuba yake kanisani baada ya kusimikwa kwa Askofu Aman Massawe.

Naona ziara za mikoa ya nyanda za juu kusini zimeanza kwa Mheshimiwa Rais
 
AGOLA

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,452
2,000
Huyu jamaa Mange kimambe amemvuruga,.
Mimi naurumia nchi yangu Tanzania.
Haya magari anayotumia Rais na wafuasi wake yanatumia Mafuta mengi sana na Garama yake ni kubwa sana lakini huyu mzee anakimbia Pande zote za Tanzania ili kuziba maandamano ya Mangw kimambi?
Toka alivoanza kutumia haya magari anaingiza Serekali Hasara mbaya sana,hawezi jua kua anatumia pesa za walipa kodi vibaya,anataka sifa za kijinga ambazo zinaleta hasara kwa Taifa.
Basi imetosha hizi pesa zinazoteketetea kwenye mafuta na msafara huu wote ni dawa nyingi sana hospitalini.
 
monopoly inc

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
3,221
2,000
Huyu jamaa Mange kimange amemvuruga,.

tukipata wa Tanzania kumi kama wewe hii nchi itakuwa tayari ishachukuliwa na Mungu ili aiunde upya, hata Goodluck mlinga hana akili mbovu Kama hizi
 
Banyasa

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
238
250
Wee jamaa wa ajabu sana? Hujua Rais ni taasisi? Rais hawezi kutembea kama wewe unavyoondoka kwako na kibaji. Rais lazima aende ma msafara kwasababu ni mkuu wa nchi? Duh? Watanzania? Hajatoka kwenda nje yuko nchini kwake akikagua miradi ya maendeleo mnaanza maneno? Sasa mnataka ajifungie akae ikuru? Atajuaje maendeleo ya nchi yake bila kutembea tena kwa kutumia usafiri wa barabara ili ajionee? Unataka atumie ndege? Kajenga viwanja vya ndege mmeanza maneno eti masikini watatumia hizo ndege? Nafikiri ujakaa sawa hapo kichwani!!?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
41,645
2,000
Wana Iringa mjiandae na ujio wa Rais Magufuli kwa ziara ya siku kadhaa akiwa anatokea Arusha ambako yuko mpaka leo.

Rais ameyasema hayo muda huu akiwa anatoa hotuba yake kanisani baada ya kusimikwa kwa Askofu Aman Massawe.

Naona ziara za mikoa ya nyanda za juu kusini zimeanza kwa Mheshimiwa Rais

Hongera kwa kuifuatilia TBC1 ikiwa ' mubashara ' kutoka Mkoani Arusha.
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,760
2,000
Huyu jamaa Mange kimange amemvuruga,.
Mimi naurumia nchi yangu Tanzania.
Haya magari anayotumia Rais na wafuasi wake yanatumia Mafuta mengi sana na Garama yake ni kubwa sana lakini huyu mzee anakimbia Pande zote za Tanzania ili kuziba maandamano ya Mangw kimambi?
Toka alivoanza kutumia haya magari anaingiza Serekali Hasara mbaya sana,hawezi jua kua anatumia pesa za walipa kodi vibaya,anataka sifa za kijinga ambazo zinaleta hasara kwa Taifa.
Basi imetosha hizi pesa zinazoteketetea kwenye mafuta na msafara huu wote ni dawa nyingi sana hospitalini.

Unatia Aibu. We unajifariji kwa kuwa hujui hata kazi. Ratiba. Na mipango. Unajiwazia. Unajiweka kuwa Rais. Then unasema. Kama Huyo Mange wako angekuwa kwa Watu kama unavyomkuza.JPM atawalaza njaa. Kisa kukazana kutafuta bando ili tu kuanzisha Uzi. We Humpendi JPM sasa Kwanini usitupe habari mubashara za MBOWE jinsi anavyopata usingizi kwa kujuana na Best yako MANGE. JF kama ina Watu kama wewe wako nyuma ya Mange. Basi itakufa sasa Hivi. Na kufa Sio kwamba mtaacha. No. It’s just means Intellectual Death
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
3,839
2,000
Huyu jamaa Mange kimange amemvuruga,.
Mimi naurumia nchi yangu Tanzania.
Haya magari anayotumia Rais na wafuasi wake yanatumia Mafuta mengi sana na Garama yake ni kubwa sana lakini huyu mzee anakimbia Pande zote za Tanzania ili kuziba maandamano ya Mangw kimambi?
Toka alivoanza kutumia haya magari anaingiza Serekali Hasara mbaya sana,hawezi jua kua anatumia pesa za walipa kodi vibaya,anataka sifa za kijinga ambazo zinaleta hasara kwa Taifa.
Basi imetosha hizi pesa zinazoteketetea kwenye mafuta na msafara huu wote ni dawa nyingi sana hospitalini.
Watu mna nongwa asipofanya ziara ooh Mbona sehemu nyingine hafiki yeye ni kada ya Ziwa tu, akifanya ziara ooh mafuta mafuta jamani mara ooh maandamano...
Kama issue ni dawa tayari MSD wamekwisha pewa magari ya kusambaza madawa na tayari wadau wamekwisha kupata maelekezo ya kutafuta ufumbuzi wa kuongeza uzalishaji wa dawa na vifaa tiba.
Tatizo liko wapi, ebu tuwe na shukrani angalau kwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya Tano.
 
Mr. Django

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
1,822
2,000
Huyu jamaa Mange kimange amemvuruga,.
Mimi naurumia nchi yangu Tanzania.
Haya magari anayotumia Rais na wafuasi wake yanatumia Mafuta mengi sana na Garama yake ni kubwa sana lakini huyu mzee anakimbia Pande zote za Tanzania ili kuziba maandamano ya Mangw kimambi?
Toka alivoanza kutumia haya magari anaingiza Serekali Hasara mbaya sana,hawezi jua kua anatumia pesa za walipa kodi vibaya,anataka sifa za kijinga ambazo zinaleta hasara kwa Taifa.
Basi imetosha hizi pesa zinazoteketetea kwenye mafuta na msafara huu wote ni dawa nyingi sana hospitalini.
Basi nawewe unajiona umetoa booonge moja la point!!!
 
Enugu

Member
Nov 7, 2017
71
125
Huyu jamaa Mange kimange amemvuruga,.
Mimi naurumia nchi yangu Tanzania.
Haya magari anayotumia Rais na wafuasi wake yanatumia Mafuta mengi sana na Garama yake ni kubwa sana lakini huyu mzee anakimbia Pande zote za Tanzania ili kuziba maandamano ya Mangw kimambi?
Toka alivoanza kutumia haya magari anaingiza Serekali Hasara mbaya sana,hawezi jua kua anatumia pesa za walipa kodi vibaya,anataka sifa za kijinga ambazo zinaleta hasara kwa Taifa.
Basi imetosha hizi pesa zinazoteketetea kwenye mafuta na msafara huu wote ni dawa nyingi sana hospitalini.
Kwa hiyo ulitaka Rais atumie baiskeli?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom