Recent content by Entreprenuare

  1. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari za kimtandao anahitajika

    Hizo habari akaandike mwenyewe
  2. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Ukipata mteja wa 6 plus gb 16, used Nishtue, 0737382461
  3. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

    Leo usafiri hapa dsm umezingua sana, kutokana na hizi mvua Mimi nipo Posta, nipo blocked, jangwani gari hazipiti. Kama upo posta nichek tupeane kampani ya kutembea mpka kimara
  4. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Usilolijua kuhusu mashine ya kusitisha uhai

    Nahitaji hiyo kwa ajili ya mpenzi wangu
  5. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Biashara gani ya mtaji mdogo inafaa kwa wageni Kariakoo?

    Wapambanaji wa hapo Kariakoo, naomba mtuambie business gani atleast ni rahisi kwa mtu mgeni anaweza akajitosa hapo, na kaanza biashara hata kwa mtaji mdogo. Maana population ya hapo Kariakoo, inatia moyo kufanya business. Mtupe business ideas za kuishi nazo, hapo Kariakoo. Nawasilisha.
  6. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi ya ulinzi inalipa vizuri?

    Hili wazo nalichukua
  7. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi ya ulinzi inalipa vizuri?

    Bachelor of insurance and risk management, IFM
  8. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Kampuni ipi ya ulinzi inalipa vizuri?

    Wakuu habari, Kampun gani nzuri ya ulinzi inayolipa atleast vizur kwa wafanyakazi wake. Hali ya kimaisha imekuwa ngumu sana, Nataka nijitose huko kwenye ulinzi tukusanye mitaji. Level yangu ya Elimu ni "Bachelor of insurance and risk management" Cheti cha jkt ninacho. Asante
  9. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Pikipiki inauzwa bado mpya

    Boss wangu, fanya mia saba hiyo, nikupe chuma hiko
  10. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara kwa sisi wa Uswahilini

    Kukaangia pale pale ni bei gan?
  11. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara kwa sisi wa Uswahilini

    Usisahau kachumbari na pili pili
  12. Entreprenuare

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Bilionea Saniniu Laizer auawa kinyama Mererani..Ndugu waja juu

    Nyie ndio maana tunawala sana [emoji22]
Back
Top Bottom