Usilolijua kuhusu mashine ya kusitisha uhai

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,175
Reaction score
866,432
Hii machine pichani inaitwa Sarco device au Pegasos wengi wanapenda kuiita suicide bag au Death Pod kwa majina ya utani ila kitaalamu inaitwa "Euthanasia device" hii mashine inatumika kwa Mtu anayetaka Kujinyonga, Au Kujiua "One's Own Death" yaani ukitaka kujiua unaingia ndani Unawasha ikiwaka UNAKUFA!

Katika Kazi yake inatumia Gesi ya Nitrogen, Mahali Popote ikikikosekana Gesi ya Oxygen basi kunauwezekano wa uwepo wa wingi wa Nitrogen, Hapa ndipo mfumo wa Kupumua Hupaniki hivyo Mtu kuanza kupumua kwa shida, kitendo hiki cha mwili Kukosa Kuingiza Oxygen mwilini huitwa "Asphyxia" na matokeo yake yale ya Kuhangaika hangaika kutafuta oxygen huitwa "Inert gas asphyxiation" na mwili ukikosa Kabisa Oxygen ndipo Mtu hupoteza maisha.

Kwahiyo mashine hii "Death Pod" huondoa Maisha ya Mtu kwa Kuzidisha Nitrogen ndani, Wagunduzi wanasema Tofauti ya Kujinyonga kwingine kama kwa Vidonge, Kamba, Umeme, Sumu n.k, Death pod imeboresha kuondoa maisha ya mteja kwa sababu huua haraka na Mateso kidogo sana "quickly with minimal pain death"

Mgunduzi wa Device hii ni Philip Haig Nitschke lakini Designer ni Alexander Bannink ndie aliyeweka 3D background kwenye hii machine, Kwa pamoja waliizindua mwaka 2017 na wakaahidi Kutoa yakibabe zaidi mwaka 2019, sijajua kama walitoa, (Pro Max [emoji3])

Hilo jina "Sarco" limetokana na Lile jina la Majeneza ya zamani ya Kuchongwa kwa mawe yaliyokuwa yakiitwa "Sarcophagus" ikiwa na Maana "To eat" au "Flesh"

Kabla ya Hii mashine kugunduliwa, ziliwahi kuwepo mashine nyingine kwa kazi hii ziliitwa Thanatron, Mercitron, Deliverance Machine.

IMG-20201006-WA0208.jpg
 
Kwanini wasitumie heroine/morphine ambayo mteja atakufa kwa starehe bila maumivu kabisa?
Hiyo mashine inaonekana bado si chaguo sahihi la wateja kwasababu bado inaambatana na mateso kiasi fulani
 
Hizo ni dawa za kulevya zilizopigwa marufuku sehemu kubwa ya dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii machine pichani inaitwa Sarco device au Pegasos wengi wanapenda kuiita suicide bag au Death Pod kwa majina ya utani ila kitaalamu inaitwa "Euthanasia device" hii mashine inatumika kwa Mtu anayetaka Kujinyonga, Au Kujiua "One's Own Death" yaani ukitaka kujiua unaingia ndani Unawasha ikiwaka UNAKUFA!

Katika Kazi yake inatumia Gesi ya Nitrogen, Mahali Popote ikikikosekana Gesi ya Oxygen basi kunauwezekano wa uwepo wa wingi wa Nitrogen, Hapa ndipo mfumo wa Kupumua Hupaniki hivyo Mtu kuanza kupumua kwa shida, kitendo hiki cha mwili Kukosa Kuingiza Oxygen mwilini huitwa "Asphyxia" na matokeo yake yale ya Kuhangaika hangaika kutafuta oxygen huitwa "Inert gas asphyxiation" na mwili ukikosa Kabisa Oxygen ndipo Mtu hupoteza maisha.

Kwahiyo mashine hii "Death Pod" huondoa Maisha ya Mtu kwa Kuzidisha Nitrogen ndani, Wagunduzi wanasema Tofauti ya Kujinyonga kwingine kama kwa Vidonge, Kamba, Umeme, Sumu n.k, Death pod imeboresha kuondoa maisha ya mteja kwa sababu huua haraka na Mateso kidogo sana "quickly with minimal pain death"

Mgunduzi wa Device hii ni Philip Haig Nitschke lakini Designer ni Alexander Bannink ndie aliyeweka 3D background kwenye hii machine, Kwa pamoja waliizindua mwaka 2017 na wakaahidi Kutoa yakibabe zaidi mwaka 2019, sijajua kama walitoa, (Pro Max [emoji3])

Hilo jina "Sarco" limetokana na Lile jina la Majeneza ya zamani ya Kuchongwa kwa mawe yaliyokuwa yakiitwa "Sarcophagus" ikiwa na Maana "To eat" au "Flesh"

Kabla ya Hii mashine kugunduliwa, ziliwahi kuwepo mashine nyingine kwa kazi hii ziliitwa Thanatron, Mercitron, Deliverance Machine.

View attachment 1592743
Je MTU hajiharishii au kukojowa
 
Nahitaji hizo mashine kwa ajili ya wanaochukua msukule ili wafutike katika uso wa dunia
 
Back
Top Bottom