Nilipata division two ya 12 (PCB) nataka kurudia advance ili nifanye mtihani kama Mtahiniwa Binafsi mwakani

Husika na kichwa hapo juu.

Ndugu zangu wapendwa naomben ushauri wenu
Kwan mwaka huu nilihitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa division two ya 12 nikiwa na D flat kweny combination yangu ya PCB

Kwa ndoto zangu ninataman kuwa Doctor (MD) lakin kulingana na ufaulu wangu naona itakuwa vigumu kupata chuo cha serikali kama vile Muhas hivyo nahisi nitakuwa na Uwezekano wa kupata vyuo binafsi ambavyo kiuhalisia familia yangu haipo vizur kiuchumi kunipeleka huko
Hivyo nimefikiria ku-resit mtihan mwakan ILI nipate ufaulu mzuri utakao nipelekea kuchukuliwa katika vyuo vya serikali

Baadhi ya watu waliniambia nisome Diploma ya Clinical Medicine lakin huko nako naona gharama zitakuwa kubwa ambazo sitaweza kuzimudu tena isitoshe itanichukua muda mrefu kwa Mimi kuifikia ndoto yangu

naomben ushauri wenu ndugu Jinsi ya kufanya ili kufaulu kama Private Candidate especially kwa comb ya PCB ikiwezekana hata kituo kizur cha kusomea kwa bwen

NB: Kupata Div 1 hai guarantee kupata admission MUHAS, nna marafiki walkua na one ya 7 na walitemwa
 
Nadhani mleta mada bado ana ushamba ya kisekondari. Ngoja nikupe picha rahisi. Kipaumbele cha kwanza kinapaswa kiwe kuingia chuo, kipaumbele cha pili ni kozi unayoitaka na kipaumbele cha tatu ni chuo unachokitaka. Ni mara chache, tena kwa wachache hivyo vipaumbele vyote vitatu hufuatana kwa sahihi kwa 100%.

Hivi unajua kuingia MD hapa Tanzania kwa Division Two (Point 12, DDD) ni kama ndoto isiyowezekana kwa sasa kwenye chuo chochote hapa Tz? Haijarishi ni MUHAS, KCMC, CUHAS, UDOM, UDSM, Kairuki, Ifakara nk. Waombaji wenye sifa ni wengi, nafasi ni chache sana. Kama huamini, mleta mada omba chuo chochote hapo, halafu utaleta mrejesho hapa JF.
 
Huo mchezo unao taka kuucheza kuwa makini sana ni sawa na ukamate kicheche halafu usahau kondom( verse ya mangwea).

Chukulia umerudia mtihani halafu umepata div 3( siombei itokee) je utatumia cheti kipi!?
 
Omba ualimu au biashara courses nenda chuo na machungu ukapige msuri wa hatari ufaulu kwa kiwango Cha juu utabakizwa chuoni Kama MWALIMU utasomeshwa masters utapelekwa ughaibuni kusoma mpaka level ya udakitari hadi kuwa profesa.
Utakula maisha mpaka utajishangaa.​
 
Kweli miaka inaenda kasi Sana yaani enzi zetu nilipata div2 of 10 points PCB lakini nilipata course zote nzuri yaani Muhas(MD) na conas(MBB) udsm but nikacomfirm CONAS na nipo njema Tena kuliko hao walosoma MD maisha siyo lazima unachotaka kiwe sometimes acha nature iselect
 
Dogo tafuta kozi yoyote ud hapo ingia piga msuli maliza chuo ingia mtaani kupambana na maisha huku mtaani cha msingi ni pesa tu hao madaktari wenyewe wana njaa kali balaa najua una ujinga bado kichwani mwako kwamba ukishakuwa daktari bongo basi mambo safi sio kipindi hiki dogo hakuna graduate mwenye admfadhali nipo na jamaa zangu wamemaliza md muhas wanacheza fifa tu siku nzima hakuna ajira
 
Kweli miaka inaenda kasi Sana yaani enzi zetu nilipata div2 of 10 points PCB lakini nilipata course zote nzuri yaani Muhas(MD) na conas(MBB) udsm but nikacomfirm CONAS na nipo njema Tena kuliko hao walosoma MD maisha siyo lazima unachotaka kiwe sometimes acha nature i

Kweli miaka inaenda kasi Sana yaani enzi zetu nilipata div2 of 10 points PCB lakini nilipata course zote nzuri yaani Muhas(MD) na conas(MBB) udsm but nikacomfirm CONAS na nipo njema Tena kuliko hao walosoma MD maisha siyo lazima unachotaka kiwe sometimes acha nature iselect
Mwaka gan ndugu
 
Watu tunaogopa mitihani, Ila kijana anaitamani mitihani. Ajabu hii
Omba awamu ya pili Diploma ya CO vyuo vya Udom, Cuhas na Muhas, nahakika utapata, bcause mimi mpwa wangu alikuwa na 'Div111 point 14' PCB amepata Udom CO.
Huwa sipendi upuuzi, nilimwambia niamri sio ombi lazima Aombe Diploma la sivyo aame nchi. Maana mitihani alifanya mwenyewe na akafeli mwenyewe.

Plz kijana Usi-reseat, kuna changamoto nyingi kama vile Maradhi, Vifo katika familia, Umasikini zaidi katika familia nk
 
Kasome Bachelor ya Biology au Chemistry. Nazo ni entry requirements za MD (una moyo... miaka yote hiyo)
 
Husika na kichwa hapo juu.

Ndugu zangu wapendwa naomben ushauri wenu
Kwan mwaka huu nilihitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa division two ya 12 nikiwa na D flat kweny combination yangu ya PCB

Kwa ndoto zangu ninataman kuwa Doctor (MD) lakin kulingana na ufaulu wangu naona itakuwa vigumu kupata chuo cha serikali kama vile Muhas hivyo nahisi nitakuwa na Uwezekano wa kupata vyuo binafsi ambavyo kiuhalisia familia yangu haipo vizur kiuchumi kunipeleka huko
Hivyo nimefikiria ku-resit mtihan mwakan ILI nipate ufaulu mzuri utakao nipelekea kuchukuliwa katika vyuo vya serikali

Baadhi ya watu waliniambia nisome Diploma ya Clinical Medicine lakin huko nako naona gharama zitakuwa kubwa ambazo sitaweza kuzimudu tena isitoshe itanichukua muda mrefu kwa Mimi kuifikia ndoto yangu

naomben ushauri wenu ndugu Jinsi ya kufanya ili kufaulu kama Private Candidate especially kwa comb ya PCB ikiwezekana hata kituo kizur cha kusomea kwa bwen
Usipoteze muda kurudia.D flat unakosaje chuo?
 
Why usisome diplo ya clinical Officer ..then utamalizia degree
Husika na kichwa hapo juu.

Ndugu zangu wapendwa naomben ushauri wenu
Kwan mwaka huu nilihitimu kidato cha sita kwa ufaulu wa division two ya 12 nikiwa na D flat kweny combination yangu ya PCB

Kwa ndoto zangu ninataman kuwa Doctor (MD) lakin kulingana na ufaulu wangu naona itakuwa vigumu kupata chuo cha serikali kama vile Muhas hivyo nahisi nitakuwa na Uwezekano wa kupata vyuo binafsi ambavyo kiuhalisia familia yangu haipo vizur kiuchumi kunipeleka huko
Hivyo nimefikiria ku-resit mtihan mwakan ILI nipate ufaulu mzuri utakao nipelekea kuchukuliwa katika vyuo vya serikali

Baadhi ya watu waliniambia nisome Diploma ya Clinical Medicine lakin huko nako naona gharama zitakuwa kubwa ambazo sitaweza kuzimudu tena isitoshe itanichukua muda mrefu kwa Mimi kuifikia ndoto yangu

naomben ushauri wenu ndugu Jinsi ya kufanya ili kufaulu kama Private Candidate especially kwa comb ya PCB ikiwezekana hata kituo kizur cha kusomea kwa bwen
 
Hasa utawala wa huyu mjomba hali mbaya kishenzi kwa sasa kama unasomea kitu usome tu ili uwe na maarifa kuhusu pesa usitegemee sana hnaweza jikuta wewe daktari lakini ukaangukia ukulima.
Hao madaktari wenyewe wanalalamika hela wanazopata ni ndogo haziendani na muda waliosoma

Halafu sikia dogo mwisho wa siku Ni pesa Kama huna pesa hakuna ataekujali na udaktari wako

Kamatia kozi za biashara fasta Miaka 3 una bachelor yako unapiga mitikasi ya pesa mjini

We endelea kujichelewesha kwa kisingizio Cha udaktari wa muhas .

Shauri zako
 
Hasa utawala wa huyu mjomba hali mbaya kishenzi kwa sasa kama unasomea kitu usome tu ili uwe na maarifa kuhusu pesa usitegemee sana hnaweza jikuta wewe daktari lakini ukaangukia ukulima.
Sure kabisa tuko katika era ambayo upatikanaji wa pesa Haina formula maalumu

Uwe umesoma uwe haujasoma ukiweza pata pesa kwa namna yeyote halali Ni sawa tu.

So dogo asijepe presha na huo udaktari siku hizi Haina dili sana

Tunao huku kitaaa wanagongea vibarua vya hapa na pale .
 
Watu tunaogopa mitihani, Ila kijana anaitamani mitihani. Ajabu hii
Omba awamu ya pili Diploma ya CO vyuo vya Udom, Cuhas na Muhas, nahakika utapata, bcause mimi mpwa wangu alikuwa na 'Div111 point 14' PCB amepata Udom CO.
Huwa sipendi upuuzi, nilimwambia niamri sio ombi lazima Aombe Diploma la sivyo aame nchi. Maana mitihani alifanya mwenyewe na akafeli mwenyewe.

Plz kijana Usi-reseat, kuna changamoto nyingi kama vile Maradhi, Vifo katika familia, Umasikini zaidi katika familia nk
UDOM,MUHAS na CUHAS hivi vyuo havina Co kwa UDOM kuna Medical laboratory technology, Nursing na Pharmacy,
CUHAS kuna Medical laboratory sciences, Radiology na pharmacy.
MUHAS kuna medical laboratory sciences, Pharmacy, Health environment sciences, Nursing, Radiology, hizo ndo course zinazopatikana kwenye vyuo hivyo ngazi ya diploma na Havina Co.
 
Huyu jamaa alinikumbusha jamaa angu mmoja alikua mpenda sifa sana.

O'level tulipata one ila yeye ilikua nzuri zaidi lakini nilimgaragaza kwenye Bios,Math na Physics na Yeye alipata Chemistry A,Physics D,Bios B na Math C akalaani sana wakati mimi nikaenda Diploma kupiga CO yeye akasema mdogo wangu lazima niende Advance nikaikomeshe physics na Math.

Akafika Advance PCM dadeki piga sana misuli mwisho wa siku Physics alipiga A,Chemistry na Math akapiga D mpaka sasa haelewi imekuaje amebaki anasononeka akakaa nyumbani miaka 2 na nusu bila kusoma kwa uchungu,,,imebidi aombe tu diploma ya CO now ndo anajiandaa kwenda kusoma Mtwara CoTc.

Kwahiyo boss rizika na ulichopata japo scenerio ya jamaa angu tofauti na yako ila la kujifunza hapo hakuona mbali na alijiamini mno alisahau kua mtihani hauna adabu,na wewe tumekuonya nenda karudie pepa uvune upumbavu uje ufungue uzi humu wa kujilaumu na kulialia.
 
Mimi labda nimshauri akasome kada ya afya nyingine naona kwa sasa zina maketi Radiology,Dental

Back
Top Bottom