King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,890
- 7,680
Oooh...kumbe,so boksa haifui dafu kwa hzo vaspawale jamaa wa kuvusha magendo kule Bunju( na Namanga) ni mwendo wa vibao vya mbuzi tu,
Boksa ikakae hapo
Oooh...kumbe,so boksa haifui dafu kwa hzo vaspawale jamaa wa kuvusha magendo kule Bunju( na Namanga) ni mwendo wa vibao vya mbuzi tu,
Boksa ikakae hapo
Mkuu ukipata nishtue tuu,nakuja kukionaHah kweli vina nguvu sana... wewe upo wapi nikutafutie
NaamNauza pikipiki bado mpya kabisa imepaki ndani tu ipo kwenye hali nzur sana ni automatic
Pikipiki ipo Msasani fitness
Bei ni dola 650.
View attachment 1587025
View attachment 1587026
View attachment 1587027
View attachment 1587028
Simu namba
0719590756
Chukua 450,000 chap chapView attachment 1587216
Mimi nauza hii, laki saba
Chukua 450,000 chap chap
Nitumie namba yako tuongeeBoss wangu, fanya mia saba hiyo, nikupe chuma hiko
Kuna jamaa yangu alikuwa anauza hebu ngoja nimuulize kama bado anayoMm nahitaji kama hii used kama kuna mtu anayo
SawaKuna jamaa yangu alikuwa anauza hebu ngoja nimuulize kama bado anayo
mimi nimeipenda pia ila nipo KAGERA nakupa milioni moja na laki 5 kama uyo jamaa wa juu


kula mia6 jombaaView attachment 1587216
Mimi nauza hii, laki saba
kula lak 3 fastaView attachment 1587216
Mimi nauza hii, laki saba