Recent content by Entim

  1. Entim

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Asante angalau nimempata mwenyeji ila ingependeza kutriangulate anachoniambia ili nisijepoteza mtaji wangu bure. eg. Ameshauri niende Mtaa wa Mchikichi na Swahili ila nilipotembelea jana, nilikuta kuna duka moja tu la kuuza Pochi, I was not impressed!
  2. Entim

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Naam, nimejipanga!
  3. Entim

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Inbox please tuyajenge mkuu
  4. Entim

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Thanks, nimeipata ila haina details kabisa!
  5. Entim

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji, hadi natamani kujinyonga. Nimejaribu biashara mtandaoni nimeishia kuchata na watu, eg mtu anauliza bei...
  6. Entim

    JamiiForums Tanzania RTO na LATRA Dodoma na Singida: Basi la Isamilo T863 DSB limejaza abiria kuliko uwezo wake

    RTO na LATRA mikoa ya Dodoma na Singida, basi la ISAMILO T863 DSB kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, muda huu lipo Dodoma na limepakia abiria waliosimama zaidi ya 20. Cha ajabu basi limeingia standi kuu ya 88 Jijini Dodoma na hakuna Askari wa Usalama barabarani aliyeingia na kukagua ndani...
  7. Entim

    JamiiForums Tanzania Hali ya usikivu mdogo inavyonikosesha ajira/fursa

    Pole sana! Tinnitus haina tiba kamili ila ukienda Muhimbili kumuona ENT Specialist anweza kukufanyia tathmini kamili na kukushauri kutumia electronic device to supress noice.. Kilichokutokea ni sehemu ya sikio inayochuja sauti na kupeleka kwenye ubongo kwa ajili ya utambuzi. Vifaa vya kusaidia...
  8. Entim

    JamiiForums Tanzania TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Alifunga ndoa kwa Shehe au Mchangaji yupi? Kama ni ndoa ya kiserikali Wilaya ipi? Lini? Mume wake anaitwa nani? Siku ya kutoa mahari nani alikuwepo? Post picha akiwa na ujauzito, akiwa cliniki, akivaa deraa. Hospital/kituo cha afya ipi alienda kujifungua? Huyu ni mwanaume mwenye genes za kike...
  9. Entim

    JamiiForums Tanzania Msaada Hotel nzuri ya kufikia Dodoma

    Asante mkwe, nimeandika Dodoma na siyo Dar mkuu. Soma vizuri/pay attention to detsils
  10. Entim

    JamiiForums Tanzania Msaada Hotel nzuri ya kufikia Dodoma

    Inbox tena? Why?
  11. Entim

    JamiiForums Tanzania Msaada Hotel nzuri ya kufikia Dodoma

    Wadau Assalaam alaikum, Tumsifu Yesu Kristu Nipo njiani natokea Ntwara kuelekea mji mkuu Dodoma. Nina maboss wanahitaji hotel nzuri iliotulia jijini Dodoma. Mwenye kufahamu hotel nzuri yenye rates za kuanzia 35, 40, 50, 60, hadi 120,000 Sababu kuu Nina timu kubwa yenye rates tofauti kuanzia 30...
  12. Entim

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

    Pole mkuu. Mimi nimesoma undergraduate hapa Tz na Post Graduates Ulaya, USA nk. TCU inajitutumuwa kuwa inasimamia ubora wa Vyuo lakini ukiwauliza kuanzia software hadi hardware zote zimetoka Ulaya au China. PhD zimejaa TCU lakini zote waligoogle madesa ya Wazungu, siku Google wakiamua...
  13. Entim

    JamiiForums Tanzania Kwanini Madaktari wana miandiko mibaya sana

    Wakuu, Umofia kwenu. Kwanini Madaktari wana miandiko mibaya isioweza kusomeka vizuri? 1. Je wanafundishwa chuoni? 2. Wanakuwa na haraka ili kuwahi wagonjwa? Madaktari karibuni
  14. Entim

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    15 years in jail ili kuwazuga watu then atakata rufaa na kupewa ushindi then anachiwa huru. Haya ni maelekezo kutoka kwa mama, siyo mahakama. Mark my words.
  15. Entim

    JamiiForums Tanzania BIASHARA YA NAFAKA ZA JUMLA

    Unahitaji leseni ya biashara, Ukifika Wilaya/Halmashauri unayonunulia nafaka waone maafisa wa kilimo watakupa utaratibu, kuna leseni pia. Getini utalipia tzs 1,000 hadi 2,000 kwa kila gunia kama tozo ya Halmashauri.
Back
Top Bottom