Msaada Hotel nzuri ya kufikia Dodoma

Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,021
2,253
Wadau Assalaam alaikum,
Tumsifu Yesu Kristu

Nipo njiani natokea Ntwara kuelekea mji mkuu Dodoma.
Nina maboss wanahitaji hotel nzuri iliotulia jijini Dodoma.

Mwenye kufahamu hotel nzuri yenye rates za kuanzia 35, 40, 50, 60, hadi 120,000
Sababu kuu
Nina timu kubwa yenye rates tofauti kuanzia 30 hadi 120k na wanataka kufikia hotel moja tu, ili kuongeza ufanisi na mawasiliano wakati wa kutoka kwenda field.
 
hizo salamu gani bhana salimia hivi mmeshindaja humu jf hotel nzuli nenda mbutu kigamboni hapa mabo yote utayakuta hapa kuanzia usafiri watoto huduma ya benki nk
 
Asante mkwe, nimeandika Dodoma na siyo Dar mkuu.
Soma vizuri/pay attention to detsils
 
Wadau Assalaam alaikum,
Tumsifu Yesu Kristu

Nipo njiani natokea Ntwara kuelekea mji mkuu Dodoma.
Nina maboss wanahitaji hotel nzuri iliotulia jijini Dodoma.

Mwenye kufahamu hotel nzuri yenye rates za kuanzia 35, 40, 50, 60, hadi 120,000
Sababu kuu
Nina timu kubwa yenye rates tofauti kuanzia 30 hadi 120k na wanataka kufikia hotel moja tu, ili kuongeza ufanisi na mawasiliano wakati wa kutoka kwenda field.
Pole huwezi kupata hii , Bora mkubaliane kukutana katikati/wastani Fulani hivi
 
Ukifika Dodoma uliza hotel inaitwa Victoria hotel iko njia panda ya stendi ya mkoa eneo la Nanenane. Bei ni 30,000/ ila vyumba, mandhari na huduma zao ni high classic. Wana vyumba kama 40 hivi.

Pia ukitaka hotel ya 100,000/ hadi 200,000/ uliza St Gaspar Hotel iko located eneo linaitwa Kisasa, umbali wa km 2 kutoka stendi ya mkoa.

Au ukitaka hotel ya bei zaidi unaweza kuulizia Morena hotel iko located round about ya Makole.
 
Wadau Assalaam alaikum,
Tumsifu Yesu Kristu

Nipo njiani natokea Ntwara kuelekea mji mkuu Dodoma.
Nina maboss wanahitaji hotel nzuri iliotulia jijini Dodoma.

Mwenye kufahamu hotel nzuri yenye rates za kuanzia 35, 40, 50, 60, hadi 120,000
Sababu kuu
Nina timu kubwa yenye rates tofauti kuanzia 30 hadi 120k na wanataka kufikia hotel moja tu, ili kuongeza ufanisi na mawasiliano wakati wa kutoka kwenda field.
St gasper
 
Ukifika Dodoma uliza hotel inaitwa Victoria hotel iko njia panda ya stendi ya mkoa eneo la Nanenane. Bei ni 30,000/ ila vyumba, mandhari na huduma zao ni high classic. Wana vyumba kama 40 hivi.

Pia ukitaka hotel ya 100,000/ hadi 200,000/ uliza St Gaspar Hotel iko located eneo linaitwa Kisasa, umbali wa km 2 kutoka stendi ya mkoa.

Au ukitaka hotel ya bei zaidi unaweza kuulizia Morena hotel iko located round about ya Makole.
Pia hotel esperanza ipo ilazo extension
 
1. Royal Village Hotel
2. Hotel Esperansa
3. Southern Empire Hotel
4. La Patrona Hotel.
5.Dodoma Hotel- Reservation check Instagram page zao.
 
Back
Top Bottom