Recent content by enk

  1. E

    Hakuna aliye juu ya sheria

    Ni msemo mzuri na wenye maana yake inayojipambanua. Lakini ktk uhalisia ni kwamba kuna watu wako juu ya sheria hasa hapa TZ. Kwa namna walivyojipanga na kuzitafasiri sheria mbalimbali, wameifunika sentensi hiyo kwa manufaa yao hao wachache na wengine watakaokuwa karibu nao. Hawa hakika...
  2. E

    Kafulila: Serikali ya CCM inataka kuniua

    Wote mnabwabwaja hapa jf!!!!! Hakuna hata mmoja mwenye ufumbuzi wa lolote isipokuwa kutukanana ndo mwaona sifa nyie woote ni waj****a bora hata huyo tumbili malau amesimama hadharani kadamnasi ujumbe wake junasikika hadi unawapa nguvu na jeuri ya kuweka vitusi vyenu hapa jf. Ni bora mara mia...
  3. E

    Kafulila: Serikali ya CCM inataka kuniua

    Wote mnabwabwaja hapa jf!!!!! Hakuna hata mmoja mwenye ufumbuzi wa lolote isipokuwa kutukanana ndo mwaona sifa nyie woote ni waj****a bora hata huyo tumbili malau amesimama hadharani kadamnasi ujumbe wake junasikika hadi unawapa nguvu na jeuri ya kuweka vitusi vyenu hapa jf. Ni bora mara mia...
  4. E

    Hizi ndizo dalili 7 za mapenzi bora kwa umpendae

    Mleta mada amesema MAPENZI BORA Nyie mnaotafuta nafasi ya PESA hapo haina nafasi! Ukikosea ukaiingiza hapo hukuna MAPENZI AMA UPENDO tena kinachobaki hspo ni mahusuano ya ki-comedy. BAKINI NJIA KUU WAJAMENI hamtaiona nafasi ya pesa katika hilo. . . . . . . Napita
  5. E

    Inaniuma hasa wanaoenda kwa TB Joshua

    Huu ujinga ulioweka hapa ni eako mwenyewe wala hakuna jamaa. Kama ulitafuta kuungwa mkono katika uamuzi eako wa kuchepuka basi ujue jamii haina cha kukusaidia cha maana mimi nakusaidia kuwa BAKI NIA KUU
  6. E

    CHADEMA ni Zitto, Msiotaka acheni!

    Akili za kuwaza ukiwa na matatizo yako binafsi.......changanya na za jirani. Kama Chadema kuna demokrasia ionyesheni iko wapi!!!! Msiwe kama....kuleeee..... mtu ana agenda ya siri ita kikao aiseme uadharani usipofanya hivyo umemuogopa yeye na hasa hoja yenyew....wewe hufai kuwa...
  7. E

    GE2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    WOTE HAPA JF MNAKURUPUKA TU HAMTAKI KUREJEA MAMBO YA MSINGI. NAULIZA TENA HILI KWA MARA YA MWISHO MAANA KADRI LINAVYOKWEPWA KUTOLEWA JIBU SAHIHI LINAENDELEA KUBAKI VILE NA BAADAYE LITAANDIKWA KWENYE VITABU VYA HISTORIA YA TZ....EDWARD LOWASSA NI WAZIRI MKUU aliyejiuzulu AMA mstaafu!?!?!? Lowasa...
  8. E

    GE2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Hakuna hata mmoja kati yao atakuwa wooooote hawajajiandaa kwa ajili ya hili ila wanachofanya ni maandalizi ya tamaa mbaya ya madalaka huku nyuma wamefumbata visasi.
  9. E

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    WE UKO PEMBENI UNASEMA HAYO KUWA WAFUKUZWE. MFUKUZAJI ANAJUA NINI KITATOKEA AKIFANYA HIVYO! KUFUKUZA MWANACHAMA NI HATUA SI KUKURUPUKA TU ULIZA KABLA YA.KUTOA USHAURI WA JAMBO KAMA LINAWEZEKANA.......Polesaaaana
  10. E

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    Wajibu nini sasa hayo yalotamkwa kea waandishi na TL ama hiyo kamati itamuandikia kila mtu hoja za kujibu!? Majibu ya hawa jamaa kupitia Media yanatoa ama kuelekeza nini kamati iandike kwa kila mmoja. Na umakini unahitajika maana yasijekuwarudi wao ZZK "Naipenda CDM imenilea na nitatoka VDM...
  11. E

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    Kama hapa unajua ni uwanja wa GREAT THINKER Tumia ubongo wako na uwe makini usikuongopee! PILI uwe Mbayuwayu wa Kikwete si wa Marlow .......AKILI ZA KUAMBIA UKAFANYA MWISHO NI KUKWAMA TENA UKIWA PEKE YAKO........Pple sidi twaendelea ...........mtu makini huenda na sentesi mskini si habari...
  12. E

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    Mabadiliko Duniani ni lazima utake usitake. Fumba macho..... hautasimamisha Jua.Lia hadi upasuke vipande usiku utaingia na asubui ya Mungu itakuja baada ya giza hilo. Wana Chadema hata tufanye nini huu ni muda wa mabadiliko Mbowe, Slaa na wengine ni lazima nao wapishe kwa amani kama...
  13. E

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    Wala si watuhumiwa hao waraka huo hauna tatizo loloooote ila kwa wale wanaoamini kuwa Chama ni Mali yao kama Bilcans ama wana Share Halali kama CCBRT wanaona ni mwiba.Kama hujui nakufundisha kuwa CHAMA CHOCHOTE HAPA DUNIANI NI MALI YA WANACHAMA NA NDO WENYE KUAMUA NANI AWAONGOZE NA WANAOTAKA...
  14. E

    Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

    MTACHOMA VIJUMBA VYA WAPEMBA NA KUVIMALIZA!!! BAADAE MTAKUJA KUONA NYINYI SI WAUNGUJA WALA WAZANZIBAR KUNA WABARA, NA MABAKI YA WAARABU WA OMAN, SYRIA, YEMEN, WAKOMORO NK. Hawawezi kukaa salama baada ya dhambi wanayoiendekeza ya Ukanda, Ukabila na Matumizi yasiyo ya wazi ya fedha za...
  15. E

    Picha ya Rais Kikwete imenigusa na uwe pia mfano wa kuigwa kwa viongozi wetu

    HAPO UMEONA NINI CHA AJABU HADI UMWAGE SIFA..............KWANI ASINGEFANYA HIVYO ULITEGEMEA AFANYE NINI? HUO NI WAJIBU KWA KILA MTU BILA KUJALI HUYU NI NANI NA ANA NINI!!!!??? sI YEYE TU HATA MARAISI WENGINE KAMA YEYE HUUDHURIA MISIBA NA HUKAA KWA MTINDO HUO MAANA WAFIWA MARA NYINGI HUKAA CHINI...
Back
Top Bottom