Inaniuma hasa wanaoenda kwa TB Joshua

Inaniuma hasa wanaoenda kwa TB Joshua

Huu ujinga ulioweka hapa ni eako mwenyewe wala hakuna jamaa. Kama ulitafuta kuungwa mkono katika uamuzi eako wa kuchepuka basi ujue jamii haina cha kukusaidia cha maana mimi nakusaidia kuwa BAKI NIA KUU
 
Habari wapendwa,kuna kitu kinanikera mpaka nimeamua kuongea na inabidi tumuogope Mungu,kuna jamaa mmoja alioa akafukuza mke wake,badae akamrudia mke wake Mungu akawajalia mtoto mmoja,wakati huyo mke ana mimba jamaa akachepuka bahati mbaya mchepuko ukapata ujauzito,jamaa akachanganyikiwa kwa sababu aliuambia mchepuko hana mke yani walishaachana,sasa jamaa akakimbilia nigeria kwa TB Joshua ili aambiwe nani mke kutoka kwa Mungu wakati mke wa kwanza alifunga nae ndoa,baada ya jamaa kurudi akatulia ndani ya miezi 6 huku akimuomba Mungu amuonyeshe,wiki 2 zilizopita kasema Mungu kamuonyesha mchepuko ndio mke wake,ila nigeria hakuambiwa kitu,sasa kwa mke halali hataki kupasikia wala habari za mtoto.
MUNGU AKUJALIE KUMJUA YEYE, HAKUNA ALIYE MWEMA MACHONI PA MUNGU. HAKUNA JAMBO BAYA SANA KAMA KUJARIBU KUMSEMA MTUMISHI PASIPOKUJUA YEYE AMEITWA NA MUNGU AU LAH!! IMANI YAKO YA KUTOMWONA TB JOSHUA NI MTUMISHI WA MUNGU INAWEZEKANA INACHANGANYWA NA KILE KILICHJOMO NDANI YAKO MKUU!! OMBA TOBA UTAONA MKONO WA MUNGU
 
Ulikua unahamu ya kumtaja TB joshua wewe,sema ulilokua unataka kusema,sio stori za uongo
 
Sasa kama Nigeria hakuambiwa kitu,TB Joshua anahusika nini hapo?
 
Hahaha
Jina la TB Joshua lume uporomote sana uzi
Nadhani malengo yake yana endelea kufikiwa
 
Back
Top Bottom