Kafulila: Serikali ya CCM inataka kuniua

Kafulila: Serikali ya CCM inataka kuniua

kama hauwajui waha basi wa testi sumu kwa kuilamba, kafulila ni lulu ya wazee wa kigoma, watasafisha mmoja baada ya mwingine
 
haya yote ni matokeo ya mahakama zetu kutokuwa huru, je mahakama inatoa maamuzi kwa kulinda sauti ya nani? mahakama ipo kwa ajiri kutenda haki lakini mahakama za tanzania mambo yanaenda kinyume, kwanza mahakama zenyewe haziko huru ss iweje leo hii tuamini maaumizi yake na kwa nn kila kesi inayohusu serikali au taasisi yyte ile ya serikali lazima serikali ishindwe why?
 
Wote mnabwabwaja hapa jf!!!!! Hakuna hata mmoja mwenye ufumbuzi wa lolote isipokuwa kutukanana ndo mwaona sifa nyie woote ni waj****a bora hata huyo tumbili malau amesimama hadharani kadamnasi ujumbe wake junasikika hadi unawapa nguvu na jeuri ya kuweka vitusi vyenu hapa jf.
Ni bora mara mia walionyamaza na kuachia mambo yaendelee kama yalivyo...... Kama huwezi kufanya lolote huna haki ya kuongea .....nyamazaaaa
 
Bravo mkuu. CCM wamezoea vya kunyonga vya kuchinja hawawezi (Tundu Lissu)

Mpambanaji Kafulila tuendelee kupambana tu sisi wananchi tupo nyuma yako. Hawawezi kuiba zaidi ya bilioni 200 za UMMA na kuziandaa kwa ajili kununulia wapiga kura mwakani na sisi tukakaa kimya. Kwa sababu wanajua bila kununua wapiga kura uchaguzi mkuu mwakani hawana chao tena .

Ni kawaida yao kujichotea fedha benki kuu na kuzitumia kununulia wapigakura ili washinde uchaguzi. Watanzania tuungane pamoja kuwapinga Magamba kwa wizi huo mkubwa wa fedha za UMMA ambazo zingeweza kuchenga sekondari kubwa nne kila wilaya nchi nzima.

Mwaka 2005 Walichota zaidi ya bilioni 200 hapohapo benki kuu wakazitumia kununulia wapiga kura na Dr. SLAA alipoibua wizi huo walimtishia kumuua lkn hawakuweza. Hata kwenye uchaguzi wa 2010 napo walimtishia sana kumuua hawakuweza; mpaka wakamtumia mtabiri na mshirikina wao Shehe Yahaya aliyekuwa anawalinda kwa majini atangaze kuwa Dr. SLAA atakufa kabla ya uchaguzi; na asipokufa basi afe yeye. Kweli hakufa akafa yeye. Mwenyezi MUNGU ni mkuu huwezi ukakufuru hivyo akakuacha.

Kwa hiyo Mpambanaji Kafulila hivyo ni vitisho tu ili uogope usitimize azma yako. Naomba vitisho vyao vizidi kukupa moyo wa kupambana zaidi na sisi tupo nyuma yako kwani ni wengi sana walishawahi kuwatisha hivyohivyo lakini hawakuweza.
 
Wote mnabwabwaja hapa jf!!!!! Hakuna hata mmoja mwenye ufumbuzi wa lolote isipokuwa kutukanana ndo mwaona sifa nyie woote ni waj****a bora hata huyo tumbili malau amesimama hadharani kadamnasi ujumbe wake junasikika hadi unawapa nguvu na jeuri ya kuweka vitusi vyenu hapa jf.
Ni bora mara mia walionyamaza na kuachia mambo yaendelee kama yalivyo...... Kama huwezi kufanya lolote huna haki ya kuongea .....nyamazaaaa
 
Kwanza akajibu case yake..Serekali toka lini ikataka kuuwa unknown person..Huyu elimu ya darasa 7 anataka umarufu

Wewe ndo known person!! wewe msomi uliyekubuhu! [kiburi] na ambaye umeumbwa kwa ufundi woote!! Pole! we are equal in the eyes of God!
 
Wewe ndo known person!! wewe msomi uliyekubuhu! [kiburi] na ambaye umeumbwa kwa ufundi woote!! Pole! we are equal in the eyes of God!

The more wisdom I gain in life,the more I understand we are all equal.No one is better than anyone else by virtue of money,skills,talents they possess
 
Werema bwana ametega mtego wa Panya ....! Kama Kafulila ni TUMBILI Je, Steven Wassira ni nani?
 
kama hauwajui waha basi wa testi sumu kwa kuilamba, kafulila ni lulu ya wazee wa kigoma, watasafisha mmoja baada ya mwingine
Hata panya hawatasalia. Mpaka mapepo yao yatakimbia. Teh teh teh!
 
The more wisdom I gain in life,the more I understand we are all equal.No one is better than anyone else by virtue of money,skills,talents they possess

So, ni vizuri kujitafakari sana katika dunia hii maana tunapitia tu ndugu!! Mwenye hii dunia ni Mungu so long as tulizaliwa watoto tunakua na tutanyauka tu!! Tuwe na subira katika maamuzi na pia huruma pia!!
 
Pesa ya serikali ni ya wananchi, ya shirika la umma ni ya wananchi na pesa yoyote itokanayo na shughuli za shirika hilo au serikali ni za wananchi!!!!!

Wananchi kwanza mengine baadaye, kama kuna hoja iwekwe ijitegemee sio kusema pesa sio za wananchi!!!!!!
Wakati authorization ya pesa hizo inafanywa na viongozi wa umma!!!!!!!????

Hoja ya hovyo sana na inatia hasira!!!!!

OLESAIDIMU ndugu yangu huo ndio Buku saba wa Lumumba.
Wao wakishapewa buku sana wanaeidhika kabisa. Wenzio wanachota zaidi ya bilioni 200 nyie mnapewa buku saba tu mnaeishika na hamwezi kuhoji.
Inawezekana hawajuai hiyo hela ni kiasi gani. Inaweza kujenga shule 4 kubwa kila wilaya Tanzania nzima.
Utafikiri wanatumia MASABURI kufikiri.
 
awapige juju, kigoma si inasifa kwa hilo....
 
unapomprovoke mtu unategemea nini?, sio wote wanaoweza huzihimili hasira zao mambo mengine ni ya kutafakari ukiwa umetulia na kuchukua hatua umaarufu hauji hivi.
 
Watu wa Kigoma hawauawi kirahisi namna hiyo bana. Atakayehusika hata panya hatasalia katika nyumba yake:
Source: Nyepesi(2013), Dar Es Salaam, Tanzania.
 
Sijakuelewa mkuu unaposema Kafulila ni mtu mdogo wakati amechaguliwa na maelefu ya wananchi na kumbwaga mgombea wa chama tawala pia ukilinganisha na Werema aliechaguliwa na mtu mmoja tu !!!Kuwa na cheo si ukubwa , ukubwa ni namna mtu alivyoingia madarakani, wakati wowote Rais anaweza kutengua uteuzi wa Werema kitu ambacho hakiwezekani kwa Kafulila.
.

Manning, you talkin' like a man men!!!

Uko sahihi kabisa.
Kuna mijitu hapa ndani ya JF ipo kwa ajili ya kutetea uzezeta,ujinga,ufisadi na upuuzi wa CCM kwa ajili ya kikundi cha wachache-CCM au Chama Cha Majambazi.

Werema ni chizi na sijui kwanini alipewa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili hali hata sheria hazijui. Haya huwa yanawezekana Tanzania tu, jitu kupewa madaraka wakti halina sifa hata moja. Inashangaza kama siyo kusikitisha kwamba AG anasimama Bungeni na kudai kichwa cha Mtanzania tena Mweshimiwa Mbunge na bado akabakia Madarakani mpaka dakika hii!

Ingelikuwa nchi za wenzetu wenye kuijua Sheria na Demokrasia ya kweli Werema kwa sasa asigelikuwa AG wa Serikali ya Tanzania. Kwa nchi za wenzetu huko duniani(Tanzania tuko Jehanum),baada ya Werema kutoa matamushi yake ya KIHUNI,HUNI mambo 3 yangelimtokea:

  1. Rais kubatilisha uteuzi wake kama AG, ama,
  2. Wananchi wangeliingia barabarani kwa maandamano na kushinikiza mpaka AG ajiuzulu,ama,
  3. Vyombo vya Habari vingemsakama kwa kumwandika na kuweka wazi kauli yake inayoenda kinyume na haki za binadamu!

Lakini kwa vile ni Tanzania, nchi ya Wagagagigikoko na hekaya za Abunuwas, mambo yanakwenda kama vile Werema alipomwita Kafulila ni Tumbili na kudai kumkata kichwa chake ni kama alikuwa akipiga uluzi!!!!!Ni Aibu, aibu, aibu, aibu kwa Watanzania wote! Inatakiwa Watz tufike mahali tujitambue na kukataa huu mfumo wa CCM unaoendeshwa kibabe!
 
Lazima atauawa kwani anataka kuzuia fedha za ESCROW zilizochukuliwa na CCM ili kununulia wapinzani na wapiga kura mwakani. Kama atahurumiwa lazima ang'olewe kucha na meno kama fundisho.
tanzania vichaa bado wengi sana wewe unayemuhukumu mwenzako kumbuka na wewe pia utahukumiwa na mungu ccm mkifanya maovu hamtaki kuambiwe ukweli kwa ujumla serikali ya ccm hawasitahili tena kuendelea kuwepo madarakani wahuni hawa
 
Back
Top Bottom