Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

Huyo wakili aache kuwaonea huruma wasaliti. Kuhurumia wasaliti ni sawa na kuishi na nyoka, black mamba, ndani ya nyumba yako. Au sawa na kumuacha mtu anayetoboa jahazi ambalo wote mnasafiria.

Sasa tuachane na mambo ya Zitto, turudi kwenye serious issue. MGAO WA UMEME umeanza kutufanya wengine maskini. Biashara zetu zimesimama na kipato kushuka. Jamani hii CCM haikubaliki, tushirikiane kuitokomeza. Miaka 50 ya uhuru bila umeme wa uhakika...

Ni usaliti gani uliofanywa na akina Kitila, Mwigamba na Zitto???
 
leo katika vyombo vya habari, wakili wa kujitegemea na Diwani wa Kata ya Mabogini (cdm) ametoa kasoro za kisheria kwa Mwanasheria Mkuu wa cdm juu ya hukumu ya kitila mkumbo na zitto kabwe. Msando alisema katiba ya cdm inaeleza kuwa kiongozi yeyote hatachukuliwa hatua za kinidhamu kabla ya kupewa mashtaka kwa maandishi na mamlaka husika na kupewanafasi ya kujibu mashtaka hayo kwa maandishi, mwisho wa kunukuu.

napenda kumwambia Msando akasome katiba ya cdm vizuri hicho kifungu anachosema ni kwa viongozi yeyote wale wa kuchaguliwa, wa mabaraza, wenyeviti wastaafu, wawakilishi wa madiwani na wabunge ndio inawapaswa kufanya ivyo na sio wajumbe wa kuteuliwa kama wakina Kitila MKUMBO. kifungu ambacho kinawapa mamlaka ya kuwavua nyazifa ni hiki hapa.

7.7.16 Kazi za Kamati Kuu zitakuwa:-
(a) Kufanya utafiti wa wagombea na wa Uraisi na Mgombea Mwenza na kuwasilisharipoti zake kwa Baraza kuu kwa ajili ya mapendekezo yake kwa Mkutano Mkuu.

(b) Kuteua Wakurugenzi wa Idara Kuu za Chama Makao Makuu

(c) Kuteua Makatibu wa Wilaya na Mikoa

(d) Kuthibitisha uteuzi wa Sekretarieti za Wilaya.

(e) Kutoa mapendekezo kwa Baraza Kuu juu ya rufaa za uchaguzi na kinidhamu.

(f) Kuandaa na kutoa Mapendekezo kwa Baraza Kuu, Mikakati ya kuendesha shughuliza Chama kwa kila mwaka na kwa kipindi cha miaka mitano.

(g) Kuandaa na kutoa mapendekezo kwa baraza Kuu , Mikakati ya kupata mahitaji yaraslimali za kuendesha kampeni za wagombea wa Chama katika chaguzi za kiserikali.

(h) Kuandaa na kutoa mapendekezo kwa Baraza kuu ratiba na maelekezo ya uchaguzi wakichama.

(i) Kupitia na kutoa kwa Baraza Kuu mapendekezo ya haja ya kuzifanyia marekebishoau maboresho Kanuni za Chama ama Katiba ya Chama.

(j) Kujadili taarifa za Sekretarieti ya Kamati Kuu na kutoa maamuzi na maelekezo kwautekelezaji.

(k) Kusimamia utendaji kazi wa Sekretarieti ya Kamati Kuu

(l) Kufanya mapitio ya Sera za Chama na kutoa mapendekezo kwa Baraza Kuu kwakuzingatia matokeo ya Utafiti uliofanywa na Sekretarieti ya Kamati Kuu.

(m) Kusimamia utekelezaji wa maamuzi na maelekezo ya Baraza Kuu na MkutanoMkuu.

(n) Kuwa kiungo na kudumisha mahusiano mema kati ya Chama na vyama vingine vyasiasa nchini, Afrika Mashariki na nchi nyingine.

(o) Kuthibitisha ajira za watumishi wakuu wa Chama ngazi ya Taifa.

(p) Kuteua kamati au tume za kushughulikia masuala maalum ya kichama kwa mudamaalumu.

(q) Kuteua wakaguzi wa mahesabu ya Chama kwa kila mwaka

(r) Kuthibitisha uteuzi wa wagombea Uspika, Ubunge na Baraza la wawakilishi
Zanzibar

(s) Kuandaa agenda za Baraza Kuu na Mapendekezo ya agenda za Mkutano Mkuu.

(t) Kufanya uamuzi juu ya mpendekezo ya kufukuza Mwanachama.

(u) Kuandaa hoja za kupelekwa Bungeni na Wabunge wa Chama

(v) Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume nakatiba, kanuni na maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake.

(w) Kuratibu utendaji wa ofisi ndogo ya Makao Makuu Zanzibar.

(x) Kusimamia utendaji kazi wa Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee.

(y) Kuteua wajumbe maalum wawili kuingia Kamati ya Utendaji ya Jimbo/Wilaya.

kwa kuwa mkumbo ni mjumbe wa kuteuliwa anaangukia kwy kifungu hicho hapo juu (v).

nawasilisha:

Kumekucha tena.
 
Wala si watuhumiwa hao waraka huo hauna tatizo loloooote ila kwa wale wanaoamini kuwa Chama ni Mali yao kama Bilcans ama wana Share Halali kama CCBRT wanaona ni mwiba.Kama hujui nakufundisha kuwa CHAMA CHOCHOTE HAPA DUNIANI NI MALI YA WANACHAMA NA NDO WENYE KUAMUA NANI AWAONGOZE NA WANAOTAKA UONGOZI HUSHINDANA KWA HOJA MBELE YA WENYE CHAMA (Wanachama) Hoja hizo ni pamoja na Nyaraka kama hizo....Ndo maana mtu anakili wazi kuwa ni mimi nimeandika/hariri. maana humo hukuti sentensi inayoashiria uvunjifu wa amani. Kama yapo KIHEREHERE MKUU WA CDM (T.LISO) ANGEKIMBILIA MAHAKAMANI .
 
Mbowe kamsaliti mke wake,hivi atashindwa kutusaliti watanzania?

Well said. Tatizo la wenzangu humu jamvini huwa hawapendi kujadili hoja kama hizi. Tuendelee kulea ugonjwa, kifo kitatuumbua.
 
Inashangaza saana unapoona watu wanashabikia vitu ambavyo hata hawajavifanyia kazi vizuri. Hivi mtu kujipanga kugombea nafasi ndani ya chama chake ni usaliti? Hivi hii ni demokrasia ya namna gani? Halafu tunazunguka nchini kunadi Chama kuwa ni cha demokrasia???? Tunaonekana wote wahuni.
 
Mbowe kamsaliti mke wake,hivi atashindwa kutusaliti watanzania?

I agree...

All of Chadema's leadership...what's happening in their private lives shows their incompetence in their public lives!

I'm intriguing by this degree of hypocrisy coming from filthy mouths of some Chadema followers aka misukule!?

Moral
integrity is seamless!

Ahsanta.
 
nimejulishwa hivi punde kuwa; Vijana wakereketwa wa Chadema tawi la esso arusha. leo wamerudisha bendera ya Chadema na kadi za uanachama wa chama hicho ili kuonyesha kutokukubaliana na maamuzi ya Chadema kumvua vyeo vyote ndg.zitto. hii ngoma bado mbichi sana.
 
Mabadiliko Duniani ni lazima utake usitake. Fumba macho..... hautasimamisha Jua.Lia hadi upasuke vipande usiku utaingia na asubui ya Mungu itakuja baada ya giza hilo.
Wana Chadema hata tufanye nini huu ni muda wa mabadiliko Mbowe, Slaa na wengine ni lazima nao wapishe kwa amani kama walivyopishwa waliokianzisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo! Mbona wazee wako kando wametulia!?!?!?!????...WAO VIPI?!???? Uking'ang'a huu ni kuwagusa mikono vipofu.......Shauri yao yangu Macho........Mkutano mkuu ea wanachama hauna cha Kanda Kus/Kas/Centr/Magh/Mash Hapo utakutana na watanzania wanaotaka hoja za uhakika kuhusu Tanzania yao na si Chadema yao. Jifunzeni kwa CCM ktk Chaguzi zilizopita KILA UONGOZI WAO ULIPOKAIDI MATAKWA YAO KWA KUTOKUJALI WALISIMAMISHA MPINZANI KWA KISHINDO HATA KAMA HAKUWA.NA SIFA ZA KUWAWAKILISHA. a l a m a za nyakati hizo

Naenda
 
Yassin, umenishangaza sana. Ila kipimo cha urafiki wa kweli unakijua. Au labda umeamua kujisahaulisha.

Moja ya kauli zako....

Kama ulivyoona hapo juu alitajwa ndugu yetu Albert Msando, sasa leo kamanda Albert Msando amevunja ukimya na kuweka haya kwenywe wall yake ya FB kama Salamu kwa Godbless J Lema na Zitto.

Ndugu yenu! Kamanda! Leo amegeuka mtu mjanja mjanja anaependa sifa!! Kisa kuhoji utaratibu na kusema ukweli?

Nitasimama hapo hapo mpaka pale utakapoweza kuleta hoja kwamba utaratibu uliotumika ni sahihi.

Ndugu yangu inawezekana ni jazba ilinipitiliza. Niwie radhi kwa hilo, Ila jambo ambalo limenisikitisha na kunishangaza ni wewe kuingia upande mmoja wa shilingi wakatu mwanzo ulituonyesha njia kwa wewe kuwa neutral. Hapo ndipo napatwa na mashaka kwamba ni nini kimekupata .

Moja yanukuu zako kwenye ule uzi wa Waberoya wa 23Nov 2010 unazikumbuka! Pitia upya. Mashaka juu ya ndugu yetu ZITTO hayakuanza leo, hata ww ulikiri but hukuweza kumlaumu coz hukuwa na evidence.

Pia mahala ambako nilishindwa kuwaelewa ni pale mlipopishana maelezo na kina ZITTO kuhusu huo utaratibu unaousema. Zitto na Kitila wameonyesha waziwazi wameridhika- hii inaleta tafsiri kuwa hamkukutana na kuweka mikakati sawia kwa ajili ya Press. Utaratibu ulifuatwa na wewe unalijua hilo sema tunajaribu kupindisha mambo ili kitunishiana misuli pasipo ulazima.

Zotto anahitaji uungwaji mkono watu wote hata mimi niliyemtilia mashaka tokea 2009,so kuwashauri wa wacheze smart ni kwa maendeleo yako pia.

Zitto anaguswa moja kwa moja na kipengele cha majukumu ya KK 7.7.16 (V).
 
Mabadiliko Duniani ni lazima utake usitake. Fumba macho..... hautasimamisha Jua.Lia hadi upasuke vipande usiku utaingia na asubui ya Mungu itakuja baada ya giza hilo.
Wana Chadema hata tufanye nini huu ni muda wa mabadiliko Mbowe, Slaa na wengine ni lazima nao wapishe kwa amani kama walivyopishwa waliokianzisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo! Mbona wazee wako kando wametulia!?!?!?!????...WAO VIPI?!???? Uking'ang'a huu ni kuwagusa mikono vipofu.......Shauri yao yangu Macho........Mkutano mkuu ea wanachama hauna cha Kanda Kus/Kas/Centr/Magh/Mash Hapo utakutana na watanzania wanaotaka hoja za uhakika kuhusu Tanzania yao na si Chadema yao. Jifunzeni kwa CCM ktk Chaguzi zilizopita KILA UONGOZI WAO ULIPOKAIDI MATAKWA YAO KWA KUTOKUJALI WALISIMAMISHA MPINZANI KWA KISHINDO HATA KAMA HAKUWA.NA SIFA ZA KUWAWAKILISHA. a l a m a za nyakati hizo
Naenda
Wakati mwingine ni vizuri kuijua kidogo historia ya mtu unayejadiliana naye; mfano mdogo ni huyu anayejiita enk...namnukuu;
JUSA JUU JUU......JUU ZAIDI ENDELEENI HIVYOHIVYO HAWA JAMAA WANAJUA WHAT'S NEXT MI NI MZENJI NIKO HAPA MORO MPAKANI MWA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATU WENGI HAWAIFAHAMU HISTORIA DAR, PWANI, TANGA, LINDI, MTWARA, COMORO NA VISIWA VINGINE HATA SEHEMU YA MOZAMBIQUE NI SEHEMU YETU.
TANGU AWALI MPA KA UKO HIVYO WAJERUMANI WALING'ANG'ANIA ILI KULINDA PWANI WALIYOITUMIA KWA MAMBO YAO (ingawa babu zetu wa Oman walikataa). Halafu watu wanaandika humu ati sisi hatujasoma, ulizeni wazazi wenu! KINACHOWAUMIZA WENGI NI DARA IKIONDOKA NDO ROHO YAO WAKO TAYARI KUTUCHIA MWANZA ILA SIYO DAR ILI WAENDELEE KUTUKANDAMIZA KAZA KAMBA JUSA HADI JUMUIA YAKIMATAIFA ITUPIE JICHO SUALA HILI TURUDI MEZANI HAKI IPATIKANE NDO MAANA KAMBI ZA JESHI VISIWANI ASKARI WOOTE NI WABARA NA MZENJI AMBAYE NI MJESHI YUKO BARA NA WAMEWEKWA 5 KWA 70 HAPO MPO????
Huyo ndiye enk...kaazi kweli kweli!
 
Kama hapa unajua ni uwanja wa GREAT THINKER Tumia ubongo wako na uwe makini usikuongopee!
PILI uwe Mbayuwayu wa Kikwete si wa Marlow .......AKILI ZA KUAMBIA UKAFANYA MWISHO NI KUKWAMA TENA UKIWA PEKE YAKO........Pple sidi twaendelea ...........mtu makini huenda na sentesi mskini si habari

Naondoka tena
 
Mkwe kashasema waondolewe ktk nyadhifa zao ,mbowe hawezikupinga ukizingatia mzee mtei kamrudisha bintie nyumbani baada ya dj kubanjua nje,anahitaji huruma za mtei ili mkewe arudi ,cdm na dhambi ya kubaguana kushnei.

Wewe mi ndo nimekuelewa kati ya wote. watu wanakurupuka tu, mleta mada kaja na kakipengele kamoja, hata huyo Wakili aliisoma katiba nina imani, na kama aliyoyasema yamo ktk katiba Elewa sheria haisomwi kama biblia au quruan, lzma misingi yote ifuatwe. lkn mm niseme, kama tuhuma zilizomo ktk ule waraka ni za kweli Wanachadema mnafurahia? hapo nyuma walidai slaa kajikopesha 100m mlisikia akikanusha? yupo aliyefuatilia kupata ukweli? yapasa pande zote zitiliwe shaka mpaka pale ukweli utakapobainika. tusikalie ushabiki usio na maono ya mbali. kama akina Kitila walosema ni uongo wawajibishwe lkn kama ni kweli elewa ipo siku watakumbukwa. no research no right to speak
 
Mbowe kamsaliti mke wake,hivi atashindwa kutusaliti watanzania?

Na wewe unataka akakujaze mimba!!??? kwa Africa hiyo sio kashfa ni sifa na isitoshe wewe ni kipoli sio type yake.. so imekula kwako!!

Hawa mapandikizi wanahangaika, wamepewa siku 14 badala ya kujibu hoja wako busy kwenye vyombo vya habari kuhoji maamuzi ya Kamati!! wazao wanahesabu na wanaomba siku 14 zifike haraka...
 
nimejulishwa hivi punde kuwa; Vijana wakereketwa wa Chadema tawi la esso arusha. leo wamerudisha bendera ya Chadema na kadi za uanachama wa chama hicho ili kuonyesha kutokukubaliana na maamuzi ya Chadema kumvua vyeo vyote ndg.zitto. hii ngoma bado mbichi sana.
kwa hiyo kumbe hao vijana walikuja chadema kufuata watu ! na wewe huko ccm umemfuata nani , mangula au komba?
 
Inashangaza saana unapoona watu wanashabikia vitu ambavyo hata hawajavifanyia kazi vizuri. Hivi mtu kujipanga kugombea nafasi ndani ya chama chake ni usaliti? Hivi hii ni demokrasia ya namna gani? Halafu tunazunguka nchini kunadi Chama kuwa ni cha demokrasia???? Tunaonekana wote wahuni.
wewe ushachechetuka tayari , demokrasia ipi gizani ?
 
Well said. Tatizo la wenzangu humu jamvini huwa hawapendi kujadili hoja kama hizi. Tuendelee kulea ugonjwa, kifo kitatuumbua.
kijana utapayuka sana , lakini kamati kuu imemaliza kila kitu , hicho kinaitwa kilio cha samaki , machozi yameliwa na mamba !
 
Mwakalinga, sio kwamba tulipishana. Nilivyosema ni kwamba mpaka sasa wakina Zitto hawajapewa barua zao ili waweze kujibu. Kitila yeye alisema ingawaje hawajapewa barua lakini wanayaheshimu maamuzi hayo.

Sasa chukulia mfano huu. Mshtakiwa ameshtakiwa kunyongwa yeye kakubali adhabu lakini adhabu hiyo imetolewa kimakosa. Haiwezi kusemekana ni sahihi kwa sababu tu mshtakiwa ameikubali.

Fahamu kwamba kama ushahidi upo na utaratibu ukifuatwa haya yote hayatakuwepo. Ndicho chama tunachokijenga. Ni kosa mimi kuhoji kuhusu kukiukwa utaratibu? Chadema sio TANU.
 
Back
Top Bottom