TabletFellow
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 918
- 274
Heshima kwako....Utaratibu wa kukata Rufaa upo na ndio sababu jana tumeeleza kwamba taratibu zote zitafuatwa kwa mujibu wa Katiba na kanuni. Ni watu wachache wanataka jambo hili likuzwe na kuonekana ni mpasuko.