Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

Lissu usimjibu Albert Msando, mimi Namjibu

WE UKO PEMBENI UNASEMA HAYO KUWA WAFUKUZWE. MFUKUZAJI ANAJUA NINI KITATOKEA AKIFANYA HIVYO! KUFUKUZA MWANACHAMA NI HATUA SI KUKURUPUKA TU ULIZA KABLA YA.KUTOA USHAURI WA JAMBO KAMA LINAWEZEKANA.......Polesaaaana
 
Hawa maCDM hata jina la diwani wake halijuwi anakurupuka na kujibu hoja ati Albert Kisando? Huyu ni Msando ex speaker pale UDSM!

Nyie vijana wa CDM mbona mbembwe nyingi sana lakini umakini mnakosa? Kukosea jina la mtu ni mbaya sana kisheria! We umesoma wapi? Kile chuo cha mapadri cha mwanza? Maana nao wanafunzi wao wanatupa shida sana hapa maofisini!

Next time proof read kazi yako before you post ndio uungwana! No hurry in academia!

sasa kwa kuwa we ni bingwa wa kudeal na petty issues badala ya kuangalia mambo ya msingi acha tuanze na wewe:
angalia red colour hapo juu:
1. kiswahili hakina neno "halijuwi" tunasema "halijui"
2. tunatumia "eti" sio "ati"
3. hakuna kitu "ex speaker" next time tumia "ex-speaker"
4. Jina la sehemu huwa linaandikwa kwa herufi kubwa mwanzoni, andika "Mwanza"
5. Sio "hapa maofisini" ni "humu maofisini"
6. andika "proof-read" na sio "proof read"
7. No hurry in academia??????????????? that is beyond repair

unajua repercussions za makosa yako yote haya kisheria?

Jaribu ku-proof-read comments zako kabla hujashauri watu wa-"proof read" posts zao

NB. Usianzishe ugomvi wa mawe kama unaishi kwenye nyumba ya vioo na ukifuatilia vitu visivyo na msingi utaumbuliwa na vitu visivyo na msingi
 
Desa au , huna issue
 
Kwani kumwachisha si ndo kuna step zake,au hata yerico anaweza kuamka asubuhi na kumwachisha mjumbe wa kamati kuu kama tu anaamini kuwa kakiuka katiba?
 
leo katika vyombo vya habari, wakili wa kujitegemea na Diwani wa Kata ya Mabogini (cdm) ametoa kasoro za kisheria kwa Mwanasheria Mkuu wa cdm juu ya hukumu ya kitila mkumbo na zitto kabwe. Msando alisema katiba ya cdm inaeleza kuwa kiongozi yeyote hatachukuliwa hatua za kinidhamu kabla ya kupewa mashtaka kwa maandishi na mamlaka husika na kupewanafasi ya kujibu mashtaka hayo kwa maandishi, mwisho wa kunukuu.

napenda kumwambia Msando akasome katiba ya cdm vizuri hicho kifungu anachosema ni kwa viongozi yeyote wale wa kuchaguliwa, wa mabaraza, wenyeviti wastaafu, wawakilishi wa madiwani na wabunge ndio inawapaswa kufanya ivyo na sio wajumbe wa kuteuliwa kama wakina Kitila MKUMBO. kifungu ambacho kinawapa mamlaka ya kuwavua nyazifa ni hiki hapa.

7.7.16 Kazi za Kamati Kuu zitakuwa:-
(a) Kufanya utafiti wa wagombea na wa Uraisi na Mgombea Mwenza na kuwasilisharipoti zake kwa Baraza kuu kwa ajili ya mapendekezo yake kwa Mkutano Mkuu.

(b) Kuteua Wakurugenzi wa Idara Kuu za Chama Makao Makuu

(c) Kuteua Makatibu wa Wilaya na Mikoa

(d) Kuthibitisha uteuzi wa Sekretarieti za Wilaya.

(e) Kutoa mapendekezo kwa Baraza Kuu juu ya rufaa za uchaguzi na kinidhamu.

(f) Kuandaa na kutoa Mapendekezo kwa Baraza Kuu, Mikakati ya kuendesha shughuliza Chama kwa kila mwaka na kwa kipindi cha miaka mitano.

(g) Kuandaa na kutoa mapendekezo kwa baraza Kuu , Mikakati ya kupata mahitaji yaraslimali za kuendesha kampeni za wagombea wa Chama katika chaguzi za kiserikali.

(h) Kuandaa na kutoa mapendekezo kwa Baraza kuu ratiba na maelekezo ya uchaguzi wakichama.

(i) Kupitia na kutoa kwa Baraza Kuu mapendekezo ya haja ya kuzifanyia marekebishoau maboresho Kanuni za Chama ama Katiba ya Chama.

(j) Kujadili taarifa za Sekretarieti ya Kamati Kuu na kutoa maamuzi na maelekezo kwautekelezaji.

(k) Kusimamia utendaji kazi wa Sekretarieti ya Kamati Kuu

(l) Kufanya mapitio ya Sera za Chama na kutoa mapendekezo kwa Baraza Kuu kwakuzingatia matokeo ya Utafiti uliofanywa na Sekretarieti ya Kamati Kuu.

(m) Kusimamia utekelezaji wa maamuzi na maelekezo ya Baraza Kuu na MkutanoMkuu.

(n) Kuwa kiungo na kudumisha mahusiano mema kati ya Chama na vyama vingine vyasiasa nchini, Afrika Mashariki na nchi nyingine.

(o) Kuthibitisha ajira za watumishi wakuu wa Chama ngazi ya Taifa.

(p) Kuteua kamati au tume za kushughulikia masuala maalum ya kichama kwa mudamaalumu.

(q) Kuteua wakaguzi wa mahesabu ya Chama kwa kila mwaka

(r) Kuthibitisha uteuzi wa wagombea Uspika, Ubunge na Baraza la wawakilishi
Zanzibar

(s) Kuandaa agenda za Baraza Kuu na Mapendekezo ya agenda za Mkutano Mkuu.

(t) Kufanya uamuzi juu ya mpendekezo ya kufukuza Mwanachama.

(u) Kuandaa hoja za kupelekwa Bungeni na Wabunge wa Chama

(v) Kumwachisha ujumbe wa Kamati Kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume nakatiba, kanuni na maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake.

(w) Kuratibu utendaji wa ofisi ndogo ya Makao Makuu Zanzibar.

(x) Kusimamia utendaji kazi wa Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee.

(y) Kuteua wajumbe maalum wawili kuingia Kamati ya Utendaji ya Jimbo/Wilaya.

kwa kuwa mkumbo ni mjumbe wa kuteuliwa anaangukia kwy kifungu hicho hapo juu (v).

nawasilisha:

Bush lawyer
 
I dnt see any opposition party here.
too much blaa blaah,better go back to bussiness.
 
sasa kwa kuwa we ni bingwa wa kudeal na petty issues badala ya kuangalia mambo ya msingi acha tuanze na wewe:
angalia red colour hapo juu:
1. kiswahili hakina neno "halijuwi" tunasema "halijui"
2. tunatumia "eti" sio "ati"
3. hakuna kitu "ex speaker" next time tumia "ex-speaker"
4. Jina la sehemu huwa linaandikwa kwa herufi kubwa mwanzoni, andika "Mwanza"
5. Sio "hapa maofisini" ni "humu maofisini"
6. andika "proof-read" na sio "proof read"
7. No hurry in academia??????????????? that is beyond repair

unajua repercussions za makosa yako yote haya kisheria?

Jaribu ku-proof-read comments zako kabla hujashauri watu wa-"proof read" posts zao

NB. Usianzishe ugomvi wa mawe kama unaishi kwenye nyumba ya vioo na ukifuatilia vitu visivyo na msingi utaumbuliwa na vitu visivyo na msingi

Haaaaaa
nimependa kujifunza hapa kuhusu lugha ya Taifa. Naimani hiyo namba moja inamfaa bibie FaizaFoxy. Manake huwa anakosea sana hapo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom