Meneja wa January ni dada yake Mwamvita...so far Vodacom hawajakunusha hii e-mail wala mwamvita mwenyewe wala January
Kwa kimya chao then tunaweza ku assume kuwa ina ukweli na kama ni kweli then its about time January aka tofautisha maisha yake ya kifamilia na dada yake ama sivyo kwa waziri...
Dada mtu alishatabiri kuwa kaka yake atapewa uwaziri na Mwamvita alikuwa anapita huku na huko kuomba michango wa dola milioni 1 toka kwa wanaotegemea kulipwa fadhila na Januarybarua hii hapa:
mimi naona makampuni ya Kizalendo bora yakafute tuu uanachama wake pale ERB kwani haina maana kusajiliwa na kulipa ada huku kazi zenyewe zote wanapewa wenye kutoa pesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.